Umewahi ku update simu yako?hata mimi ninatatizo hilo.. Simu yangu imestuck kwenye LOGO tu ya samsung haiendi zaidi halafu kwenye computer ukichomeka haionekani.... nimeenda kwenye duka la samsung wameishindwa nimepeleka kwa mafundi wengine hivyo hivyo nimeiweka kabatini.. kama kuna watu wanaweza kujua tatizo ni nini wanaweza wakanipa na mimi solution
Hiyo simu umewahi ku update?Hello Wakuu, simu ya Samsung Galaxy Note 2, imeanza tatizo la kuji-reboot kila wakati, inasihia kwanye logo tu, nahitaji msaada wenu tafadhali.