pozzyfaza
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,453
- 268
Jamani kuna kitu nilikua nakiwaza sana baada ya mm kulipia kitu kupitia paypal. Na mm ninafanya biashara hapa kwetu tanzania na wateja wangu wengi wako mikoani nataka niwe napokea malipo kupitia paypal ili wateja wangu waweze kua na imani na vitu wanavyooda. Je ninaweza fanikiwa hili na je wakilipa mm ninapokeaje hiyo pesa. Msaada pls kwa aliyewahi fanya hili