Kwa anayejua hili

Kwa anayejua hili

Ben Nyoni

Senior Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
115
Reaction score
136
Naombeni msaada kuhusu bluestack kila nikiistall kwenye pc inadai 2gb ya physical memory.kwa mwenye ujuzi msaada unahitajika.
 
bluestack ni mahususi kwa window 8 pekee kama una window 7 apo ume fail
 
memory inaweza kuwa ram au hdd yako. una uhakika free space yako ni zaidi ya 2gb na ram yako ni 2gb?
 
Back
Top Bottom