P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 623
Wakuu mwenye hii programu Ms Project yakuanzia 2007 na kuendelea naomba anisaidie,nimehangaika sana kuidownload lakini nimeshindwa,mbali na Softonic ua CNet labda ni website gani naweza kuipata programu hii na nikaidownload na kuinstall bila usumbufu.Natanguliza shukrani kwa yeyote mwenye moyo wa kutoa msaada.