KingRoot can root all version of Android with one clicking, you can have a try.
http://www.kingroot.net/wap/download
Nimeambiwa one issue needs attention "game booster" Enable?
Kwani ni lazima...
Kwa kupitia hatua antazokpa utakua na uwezo wa kua na access na series kibao pamoja na movies nyingi sana.
hizi ni njia rahisi ambazo haitakuitaji wewe kutoka jasho wala povu
kwa maelezo zaidi...
Huawei P9
SPECIFICATIONS
40%
592,608 hits
131
Become a fan
5.2"1080x1920 pixels
12MP1080p
4GB RAMHiSilicon Kirin 955
3000mAhLi-Ion
Huawei P9 and P9 Plus hands-on: First look
Read opinions...
nimatumain yangu muwazima wanajukwaa
naomba kusaidiwa namna gan naweza install program katika simu hii kwan currently nmefanya ku un install what app kutokana na ukubwa wa data ulijaza simu...
Haya wanajamvi nimeanzisha ka uzi kama kanavyojieleza hapa ni kwamba unaleta mada ambayo unafikiria /jambo unalotaka kulifanya la kisayansi lenye tija na manufaa kwa jamii .Halafu tunachangia...
1. Google: Larry Page & Sergey Brin
2. Facebook: Mark Zuckerberg
3. Yahoo: David Filo & Jerry Yang
4. Twitter: Jack Dorsey & Dick Costolo
5. Internet: Tim Berners Lee
6. Linkdin: Reid Hoffman...
Habari wakuu kwa kipindi cha wiki 2 zilizo pita nilitangaza kununua Idea ya mtu Kuhusiana na Technology (website) kuwa nanunua wazo kuhusiana na Website kwa mfano, mtu aliye tengeneza facebook...
Habari wadau wa jukwaa la teknolojia.
Naomba kufahamishwa namna ya kushare internet iliyo katika laptop
kwenda katika simu kwa njia ya Wi-Fi. Utaalamu wangu unaishia kutoa Net katika simu kupeleka...
Je! ninawezaje kutoa pattern kwenye cm ambayo uki press volume & power button hailet option zile za ku restore? au cm za namna hiyo pattern haziwez kutoka mpaka computer?
Nahitaji msaada kufahamu online community hapa Tanzania ambayo inakutanisha Game Designer, programmers, Video animator, modeling Artist, and other of the same consideration.
Heshima kwenu.
Kama mada husika inavyosema wakuu, naomba kujuzwa App au Software ambayo naweza ku-convert videos kwa urahisi na kwa haraka kiasi toka kwenye format tajwa hapo juu (mp4 na mkv)...
Kuna baadhi ya music files za ku-download mfano wimbo Wa Mr II Sugu Motochini nimeu-download. Umeandikwa "Sugu - Motochini" lakini nikiucheza kwenye simu player inaandika "superdee" kama ndio...
habarini za saa hizi wadau, nina project yangu nimetumia php 5.5.15 na ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizuri, nimeiupload kwnye free hosting service kutoka hostinger, wao wanatumia php...
nimekuwa nikijiuliza hili swali toka zamani kwamba kipi ni kizuri zaidi......being a web developer as a carrier or develeoping your own web and earn from it .help me to elaborate
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.