Kuupdate Simu yangu Kutoka Android Version 5.1 kwenda 6

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Habarini natumia HTC M9 sasa inatumia Android version 5.1 nahisi ndo inaitwa Lollipop sasa nataka ku update kwenda marshMallow ambayo 6.0,Je offical update imetoka? Na ninaomba maelezo Namna ya Ku update

NB: Kama kuna Madhara ambayo simu yangu itapata Naomba Kujua
 
Kuwa na subira Mkuu update ipo jikoni itakuja

28c8ec18348209dcd458c5b715da5bab.jpg
 
Samsung S4, SHV-E330K ina Android 5.0.1, Korean made, tatizo lake haiwezi ku run USSD Code, Kama ni *150*88# au nyinginezo. Nalitatua Vipi hili tatizo?
 
Back
Top Bottom