Extracted From the recent news alert from TCRA (March 19, 2016)
Kuhusu maendeleo ya sekta, (Dr. Simba) alisema hadi Desemba 2015, idadi ya laini za simu za mkononi ilikuwa 39,808,419 ukilinganisha...
Habarini wakuu:-katika zungukazunguka yangu leo kariakoo kwa ajili ya kununua tv,nimekutana na majina ya tv tofautitofauti(sumsung,TCL,singsung,ZEC,sony nk)naomba kujua vp kuhusu hizi zec,na tcl...
"WASOMI" NA NDOTO ZA ABUNUASI
Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule...
wataalam wa kompyuta mnisaidie tafadhari, kila nikiwasha laptop yangu inaniletea maneno "startup repair" na inaleta alama flani kama inaload vile chini yake kuna maneno "atempting repairs..."...
Kama kuna mtu mwenye motherboard mpya au used ya dell inspiron n5040, naomba unipigie 0685184075 au 0765478513, au kama kuna fundi anayeweza kunipa motherboard mpya ntashukuru ukiniachia namba...
- Nabadilisha mikanda/tape za vhs kwenda mfumo wa digital yani kuziweka kwenye memory au dvd e.g. mikanda ya maharusi, vipaimara, etc (vhs tapes to modern digital video conversion...store in...
Habar wana jamii, kama kichwa cha habar hapo juu kinavyo sema, mwenye activator ya Tally Erp9 anisaidie, lengo ni kuitumia software hiyo kwa lengo la kuelimisha, asante
Wakuu kuna mtu anajua jinsi ya kufix lost imei ya modem (huawei), imetokea baada ya kuflash na firmware nyingine for unlock. Sikufanya backup ya nv. IMEI inasoma 0.0.0.0.0.0.0
Sorry guyz kwa mtu yoyote mtaalam wa maswala ya website na blogs anisaidie natamani jua saba blogs na websites znamasirahi gan na pia ni jinsi gan unaweza imiriki na kuitumia!!!!!!
Mi ni graduate wa IT & Telecom, naulizia kampuni/Taasisi/mtu mwenye ofisi inayodeal na mambo ya IT &Telecoms kwa hapa Moshi ambayo itanipa nafasi ya kuchukua uzoefu na ujuzi zaidi juu ya computer...
Nahitaji kujua Ku design electronic CCT kama inverter, amplifier, security system, n.kNahitaji miongozo, kielimu nipo chuo kikuu mwaka wa pili mechanical engineering ila napenda electronics CCT...
habar za humu wakuu,Nina kisimbuzi chang cha Azam tv sas cha kushangaza na kustua ni kwmba jana wakati Nimeludi kwnye mihangaiko Nilivyowasha kisimbuzi kinaonyesha channel mbili tu yan XTRA na...
Mara kadhaa nimekuwa nikienda google na kuangakia specifications za HTC ONE M9 PLUS naziona pale zimewekwa na Simu ipo lakini nilipo ingia kwenye website ya HTC sioni wakiitangaza wala kuzungumzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.