Wadau,
Kwa mlioko TZ nisaidieni juu ya hili. Je umewahi kutumia hiyo Nduki Gold ya TTCL? Je speed yake ikoje?
Kuna sehemu nyingi TZ kwa mfano Kyela, internet kwa kutumia hizi modems za mobile companies ni bomu ile mbaya yaani hata kutuma file dogo huwezi. Najua miji mikubwa hizo modems zinafaa na speed zake nzuri lakini sio huko wilayani.
Hivyo option pekee ya maana huko wilayani ni hao TTCL. Kama una uzoefu wowote please nishauri.
Asanteni.