Nahitaji kujua Ku design electronic CCT kama inverter, amplifier, security system, n.kNahitaji miongozo, kielimu nipo chuo kikuu mwaka wa pili mechanical engineering ila napenda electronics CCT...
habar za humu wakuu,Nina kisimbuzi chang cha Azam tv sas cha kushangaza na kustua ni kwmba jana wakati Nimeludi kwnye mihangaiko Nilivyowasha kisimbuzi kinaonyesha channel mbili tu yan XTRA na...
Mara kadhaa nimekuwa nikienda google na kuangakia specifications za HTC ONE M9 PLUS naziona pale zimewekwa na Simu ipo lakini nilipo ingia kwenye website ya HTC sioni wakiitangaza wala kuzungumzia...
Wakuu. Nahitaji kurecord some video clips kwa kutumia simu yangu. Napata changamoto kuwa quality ya sauti haina standard ninayoitaka.
Naomba msaada kwenu. Nitumie microphone gani kwa ajili ya...
Kama umekuwa unatafuta smartphone ya bajeti ndogo na yenye sifa za wastani. Basi hii inaweza kukufaa.
Inaitwa FERO model V501
Ram 1GB
Processor ni quadcore
Chipset ni Cortex
Storage 8GB
Dual sim...
Maana ya hizi term wadau natakiwa niandike nn hapo
1.reqiurement specification
2.reqiurement analysis
3.system design
natakiwa naiandike nn hapo ni project ya online bidding website natakiwa...
Mambo vipi wadau,
Kuna mdau mmoja Olympus alileta uzi jinsi ya kutumia Number mbili kwenye simu yako ya line mbili yenye os android lakini yeye
hakutoa ujuzi alitaka tuwasiliane nae na tumpe...
Wadau wote wa humu naomba msaada kwa yeyote mwenye url. ya chaneli za hapa tz aniwekee hapa nami nifurahie tv za hapa kwetu tz. Natanguliza shukurani kwenu.
Here is how you can become a good programmer according to experts
How do I become a good coder and what should the ideal characteristics of a good coder?
Programming is one of the better career...
habari zenu waungwana!naomba kupata mawazo yenu juu ya swala la ufundi umeme ninao fanya kwani sijawahi somea chuo chochote ila nimewahi fanya kazi za wiring za nyumba mara mbili tu na fundi...
Wakuu huwa napata wakati mgumu kutafsiri hii equation ya Mkulu Albert Einstein je alimaanisha nini kusema energy ni sawa sawa na uzito yani mass kuzidisha Speed ya mwanga iliyo squared?
Kama ulizoea kupakua mafaili yako tofauti tofauti kutoka katika mtandao huo kupitia katika browser za Google Chrome na Mozila Firefox kwa sasa mbinu zako zitagonga mwamba.
Mtandao huo umefutwa na...
habari wwana JF,
hivi majuzi nimekuja na wazo la kutengeneza website ya movie ambazo nitakuwa napost movie zilizo tafasiliwa kiswahili na ambazo hazija tafasiliwa kweli nimefanikiwa nanimeona ili...
Wakuu..moja kwa Moja bila kumumunya maneno. Nilinunua hii LG Yangu wameniambia ni hizi digital yaan zina king'amuzi kwa ndani kwa hiyo mi nikuweka antenna tu. Na kupata hizi local Chanel free.. na...
Natumai ni wazima ndugu zangu. Leo ningependa kufahamu kama ni kweli kwamba unaweza ukatumia,smatphone yako ukaunganisha na tv yako ya flat screen ukatumia?
Kwa mfano una video kwenye simu yako ya...
Habar wakuu: cm yangu ni Tecno P-5 inashidwa instal apps, inaanza kwa kudownload kisha kuinstal ktk cm inakataa kama picha inavyoonesha, cjui tatizo ni nn? Wenye ujuz mnijuze pls;
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.