Tecno boom j8

Vitu ni vile vile ila angalau hii imekuwa stable kidogo haina issues za network problems kama zilizopo kwenye tecno c8 na c5 hii 4G yake imetulia mwanzo mwisho pia UI yake ni nzuri halafu kuna some features zimeongezeka with the new Hios
 
Back
Top Bottom