Tv yangu inaonyesha black and white

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,901
8,358
Wadau msaada ghafla Tv yangu sasa inaonyesha black and white badala ya kuwa ya rangi kama kawaida yake nimejaribu kwenda kwenye tv mode ili niweze kujaribu kubadili lakini haiendi inaenda tu kwenye picture mode,sound mode,osd language basi.
Nimeboreka kweli kwa anayejua msaada tutani tafadhali.
 
Mchina katika ubora wake!! Kununua kitu bei rahisi ni gali kuliko kununua vitu bei ya juu!!
 
Menu bukulet ya TV unayo!? Isome na pitia kwa fundi electronics
 
Wadau msaada ghafla Tv yangu sasa inaonyesha black and white badala ya kuwa ya rangi kama kawaida yake nimejaribu kwenda kwenye tv mode ili niweze kujaribu kubadili lakini haiendi inaenda tu kwenye picture mode,sound mode,osd language basi.
Nimeboreka kweli kwa anayejua msaada tutani tafadhali.
Chomoa waya za deck ndo uende kwenye Tv mode..
 
Hata yeye anajua ni setting...sasa ni setting gani na amalize vipi tatizo?
Kwanza uwe unasema ni tv model gani? ili iwe rahisi watu kukusaidia. Jaribu kwenda kwenye settings halafu tafuta sehemu ambayo utaona kuna PAL,SECAM,NTSC, sasa hakikisha iwe PAL. au kama unatumia king'amuzi basi jaribu kubadilisha waya wako (scart cable au HDMI cable) wakati mwinginw zikiwa loose huwa inaleta shida hiyo au hupati sauti. Vile vile kabla ya kujua kama tatizo ni TV au siyo, jaribu kuangalia dvd au USB yenye movie au picha na uone kama zinaonyesha za rangi au B&W.
 
Nadhani kakupata
 
Back
Top Bottom