Habarini natumia HTC M9 sasa inatumia Android version 5.1 nahisi ndo inaitwa Lollipop sasa nataka ku update kwenda marshMallow ambayo 6.0,Je offical update imetoka? Na ninaomba maelezo Namna ya Ku...
Wadau habari za muda huu?
Nina galaxy note 3 ina tatizo la sensor yake, nijuavyo mimi ni kwamba ukiwa unapiga simu ukiweka sikion mwanga wa simu huwa unazima kutokana na kuiziba ile sensor ya...
imeandika Anti inadvertently mode, alafu ikafwatiwa na Do not cover the top of the screen wakati haijawa covered, naomba kama kuna mwelewa na hizi antivirus anisaidie, natanguliza shukrani.
Kuna maelezo yamejiandika, Anti inadvertently mode. Kwenye top, alafu yakafwata tena maneno; Do not cover the top of the screen, wakati screen haijawa covered, msaada kwa wajuzi wa viruses wa...
Kwa wale ambao teknolojia haijawatupa, nisaidieni elimu.
Ninapata changamoto kurekodi kazi fulani.
Kwasasa natumia AUDACITY katika laptop, ninaishi pahali kuna kelele sana, hivyo nashindwa...
Yes, you can recover your permanently deleted files. They can also be recovered if you delete them from Recycle Bin.
I always wonder how a file can be recovered after its removal from Recycle bin...
wataalam wa It..
nimekuwa nikiona thread nyingi za watu wakitaka kuroot simu zao...
lakini wakiwa hawa sababu maalumu inayomfanya a rooted simu yake..
au ni apps gani anazipata na ku enjoy...
Habari wanajanvi. Naombeni msaada Computer yangu nilikuwa nataka ku install window upya mwanzoni ilikuwa na window 7 nikataka ku update kwenda 8 ikagoma kabisa inadai disk C haina nafasi wakati...
wakuu kwenye pitapita zangu nimeona madishi yameandikwa starsat haya yanamilikiwa na kampuni gani?
yanauzwa bei gani?
yana channel ngap?
ni ya kampuni gani?
habari wana jf,smart phone yangu samsung galaxy s6mini bado ina empty space ya gb 2.9 lakin nikidownload kitu inaniambia imejaa,nimejaribu kufita baadhi ya mafaili lakin wapi.nifanyaje?
Habari zenyu wanajamvi.
Naomba msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa kozi za Diploma ya Sheria ama Diploma ya Business Administration kwa njia ya mtandao(Online) tafadhali anijuze.
Asante.
Wadau wa teknolojia salam.
Nina site yangu natafta choo, lkn kila nikichimba, nakuta jiwe limesambaa kufunika eneo lote linalokusudiwa kuchimbwa choo.
Watalaam, nitumie nn ili niweze kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.