Mwenye uwezo wa kunitengenezea app kwaajili ya blog aje hapa

App yako nzito sana.... Halafu sins hakika kama in a support AdMob. Nataka app simple kama ya Mpekuzi na I support Admob pia mhusika anitayarishie na kuiupload playstore kabisa
 
Nicheki dm nikupe namba ya alietengeneza app ya mpekuzi, bongoswaggzz udaku special maana zote zmetengenezwa na mtu mmoja
 
Back
Top Bottom