Ndugu wana jf , naomba mnisaidie Mwenye kujua niliwahi kuuliza humu application nzuri ya kudownlod video hadi za kwenye YouTube nikaambiwa ni vidmate na videoder Sasa nikifungua kwenye play store zinakuja nyinginying nimejaribu kudownlod zote hazipakui nyimbo naomba Mwenye hiyo app anitumie nembo yake ikoje kwa vidmate na videoder, asante