Mtandao wa Airtel, University Bundle kunani?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,523
24,010
Toka jana nimekuwa nikiingiza voucher ya University inakataa sijajua kuna tatizo gani , maana nlidhan tatizo ni sehemu nliyopo kwa kuwa ni mtaani labda kuna mabadiliko. lakini leo nipo chuo tena bado inakataa kuunga. nami nategemea sana modem ya airtel kupata mtandao niweze kamilisha dissertation yao.

Wadau kuna ambaye anafaham ni nini kinaendelea huku?
 
Mkuu si wewe peke yako bali hata mimi nimepatwa na hilo tatizo na nimewapigia na wamesema kuwa ni tatizo ambalo linajulikana na sasa wanahangaika kulirekebisha na tuvute subira ndani ya saa 3 zijazo tutakuwa tena tunafurahia hii huduma yetu nzuri. Nimeona tu nilete mrejesho wao nanyi pia muufahamu.
 
Nashukuru kwa Huu Mrejesho wako maana nlikuwa nafikiria kufunga safari kuwafata. Nimenunua voucher 10 ningezifanyia nini kama mtandao wenyewe unakuwa hivi na katika internet kikweli nawaamini sana airtel nlishaachana na voda na tigo long time ago.

Usijali Mkuu na endelea kutumia Mtandao wako mzuri na wenye uhakika wa AIRTEL " the smartphone network ". Ukitumia huu mtandao wao jua kuwa una uhakika hata wa kwenda paradiso kwani hata Malaika wa Mbinguni nao ni watumiaji wazuri tu wa Airtel. Kinachonivutia zaidi katika mtandao huu hasa ni zile rangi zake ambazo zinanipa raha iliyotukuka!
 
ha ha ha..... kuna haja ya kuwa tag airtel waje hapa wasome maneno yako. kiuhalisia ni mtandao ambao kwa muda mrefu haujaniungusha maana ni miaka mingi sasa toka nimejiunga nao. nlihangaika sana na modem za makampuni mengine lakini suala la internet likawa bado sijalipatia solution mpaka nlipokuja kujiunga na airtel waa kwa kweli wamekuwa wakinipatia internet yenye speed nzur na mara nyingi kwa sehemu nying zaidi kuliko mitandao mingine. na kwa hili jambo lililotokea jana naomba angalau kwa sisi tuliokuwa na GB zetu kwenye Modem waturudishie kwa kwel maana zitakuwa zimepotea bure tu. nasi wengine tulitaka kushusha mavitu usiku wa kuamkia leo. tuepoteza bure tu sasa.

Watakufidia tu kwa aina nyingine Mkuu usijali. Usishangae wanaweza hata wakatupa OFA ya kwenda Ibiza Beach TUKALE BATA na TUKIRUDI Dar wakatupa hata na MAGARI. Hakuna ambacho Airtel wanashindwa na unaweza hata kukuta hili tatizo ni katika sehemu pia ya KUUBORESHA Mtandao wetu bora na wa KUTUKUKA kabisa wa AIRTEL. Yaani Mimi rangi yao tu INANIFURAHISHA na NAIPENDA.
 
Nashukuru kwa Huu Mrejesho wako maana nlikuwa nafikiria kufunga safari kuwafata. Nimenunua voucher 10 ningezifanyia nini kama mtandao wenyewe unakuwa hivi na katika internet kikweli nawaamini sana airtel nlishaachana na voda na tigo long time ago.
Km ni internet tu halotel ndo wanajua ,,,,coz wao ni tz yote mpaka bush wako vizur,,,but we na airtel yako ukienda mikoan utawachukia Mara moja,,, ....
 
Airtel wamerudisha mtandao ila sasa tatizo zile voucher zote nlizokuwa najaribu kuziingiza jana zimegoma zinasema kuwa zimeshatumika na wakati sijazitumia. yaani ziligoma. naomba nisaidiwe namba ya airtel customer service/care niwasiliane nao. maana nitakuwa nimepoteza kama voucher.
 
Kwa Internet Kwasasa HALLOTELL ndio habari ya Mjini,net iko tz nzima,bundle za unvsty zipo wala sio mpaka uwe maeneo ya chuo,popote ulipo unajiunga wana cheap special kwa unvsties
 
Usijali Mkuu na endelea kutumia Mtandao wako mzuri na wenye uhakika wa AIRTEL " the smartphone network ". Ukitumia huu mtandao wao jua kuwa una uhakika hata wa kwenda paradiso kwani hata Malaika wa Mbinguni nao ni watumiaji wazuri tu wa Airtel. Kinachonivutia zaidi katika mtandao huu hasa ni zile rangi zake ambazo zinanipa raha iliyotukuka!
Comedian haha haa
 
offer zao za uni ni tsh ngap na unapata GB ngap? hao halotel

Back
Top Bottom