Naomba kufahamu kuhusu Lenovo yoga

Naomba kufahamu kuhusu Lenovo yoga

Ziko vizuri mimi ninayo lenovo yoga 8.. iko poa sana...chaji masaa zaidi ya kumi na tano uko kwenye neti....
2Q==
 
binafsi nimependa sana product za lenovo ..mimi ni hii tablet lenovo yoga 8.. naona iko poa sana ..
Lenovo%20Yoga%20Tablet%208%20Tilt%20Mode.png
 
mtoa mada unataka nini? pc/convertible/tablet za yoga zipo nyingi, zaidi ya 10 hio ni series. zipo za android na za windows, zipo za bei tofauti, zipo za inch 8, 10, 13 nk
 
Mkwawa hapo ndo umezidi kunichanganya kabisa, ila nahitaji kujua ilivyo, na matumizi yake kwa ujumla, na kwa bongo bei yake ikoje kwasasa?
Shukran sana wakuu!
 
Mkwawa hapo ndo umezidi kunichanganya kabisa, ila nahitaji kujua ilivyo, na matumizi yake kwa ujumla, na kwa bongo bei yake ikoje kwasasa?
Shukran sana wakuu!
Ww ndo unatuchanganya mkuu,,unhitaji kujua kuhus nn,,pc au tablet au covertible za yoga,,
Ni vizur ukawa specific unahitaji nn ili upate msaad wa harak,,
 
mtoa mada unataka nini? pc/convertible/tablet za yoga zipo nyingi, zaidi ya 10 hio ni series. zipo za android na za windows, zipo za bei tofauti, zipo za inch 8, 10, 13 nk

Nakupa heshima tele mkuu... Japo mtoa mada hakujui uchambuzi wako ndo maana hajakutag.. Ila ingekuwa mimi moja kwa moja nakutag kwanza..
 
Labda niseme hivi, nahitaji kununua laptop na Ipad, nikashauriwa ninunue hiyo lenovo yoga but sijui chochote kuhusu hiyo device, ndiomaana nikaomba kujuzwa na wataalamu wa jf!
 
Lenovo yoga ni nzuri. Zipo : yoga, yoga2, yoga pro (Hizi ni za windows). Nijuavyo ni lenovo yoga B 6000(8 inch) na yoga B8000(10 inch) zenye specs sawa kasoro screen size na zenye kutumia sim card.

Kumbuka kwa mazigira ya kwetu kuwa na tab isiyo na sim card itakubore. Hizi version za zamani bei imepungua sasa. Sijui kwetu ila haitakuwa chini ya usd 400-round. Huyo aliyeipata Dubai kwa usd 200 alipata very good price.

Hizi version nyingine wameongeza specs za android kwenye camera, memory, resolution nk (yoga 2) no pro wametumia windows. Bei zake ni zaidi ya usd 500(yoga 2) na hadi zaidi ya 800(windows).

Hakuna tab yenye betri nzuri kuliko Lenovo kwa sasa. Hata laptop zake zina betry nzuri sana.Yoga camera ni yakawaida ila mengine inanikosha. That is what i comment.
 
Shukrani mkuu!nimepata mwanga sasa utanisaidia kufanya maamuzi sahihi!
 
kuna duka moja niliona walikuwa wanatangaza yoga tab 2 ya 10" ni ya android walikuwa wanasema wanauza 305000, sema nimewapigia wanasema mzigo umeisha, hata mimi nimeipenda sana
 
ngoja upasue display utajua.china wana ubongo.au ovyo.
 
Mkuu mi ninayo lenovo yoga tab 2, 8", 4G Lte, ni nzuri sana, hasa betri. Nilichukua about Euro 300. Tatizo/weakness moja kubwa nililo notice so far camera yake haina flash, hivyo haipigi picha kwenye giza. Kingine ni kwamba pamoja na kuchukua simcard, haijawekwa application ya simu. Unaweza tu kutumia simcard kununua bundle za internet na kutuma sms..lakini sio kupigia simu..say voda to voda/tgo. But kuna sehemu nilisoma kuna namna ya kuifanya iweze kupiga simu kutumia android system moja ya wa russia lakini naogopa kujaribisha.
Ni hayo tu mkuu, it's a very good buy indeed.
 
kuna duka moja niliona walikuwa wanatangaza yoga tab 2 ya 10" ni ya android walikuwa wanasema wanauza 305000, sema nimewapigia wanasema mzigo umeisha, hata mimi nimeipenda sana
wapi uko bro
 
Back
Top Bottom