Kaputupu JF-Expert Member Feb 1, 2014 1,486 1,171 Apr 12, 2016 #2 Kama. Unatumia pc basi Internet download manager (idm) ndo chaguo sahihi... Lakini kama unatumia simu (android device) Inategemea una stream wapi..? Kama YouTube... Tumia videoder Link >> Videoder Youtube Video & Music Downloader Japo mm naipenda hii inaitwa Vidmate [http://vidmate.en.uptodown.com/android/download]
Kama. Unatumia pc basi Internet download manager (idm) ndo chaguo sahihi... Lakini kama unatumia simu (android device) Inategemea una stream wapi..? Kama YouTube... Tumia videoder Link >> Videoder Youtube Video & Music Downloader Japo mm naipenda hii inaitwa Vidmate [http://vidmate.en.uptodown.com/android/download]