Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajamii msaada wenu unahitajika nina Macbook Pro adapter imeanza ghafla nilipoiconnect kwa pc imegoma kuchaj pia inatoa sauti kama ndani kuna kamota kanazunguka. Je tatizo hilo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua baada ya mtumiaji wa Mpesa. Tigo pesa na huduma zingine kufariki account yake huishia wapi na je huweza kurithiwa kama wanavyofanya bank? Na Kwa nn hawaulizi mtu wa kurithi account...
1 Reactions
2 Replies
821 Views
habari wadau ! naombeni msaada wenu nataka ku promote page yangu ya fb, kama unaweza nielekeza namna ya kupromote page ya fb itakua frsh maana naona natakiwa kulipia viza au Master card na ni bei...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari, Is it possible kua mm nlieko jiji la Dar namtumia sms mtu wa mbeya lakin kule hapokei SMS yoyote zaid ya Text 20 lakini za watu wengine anazipata na zinapokelewa meaning zinakua...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilikuwa na uwezo wakudownload sofware na different programs na Movie lakini sasa hivi ofisi nayoitumikia wamebrock torrents zote hivyo IP niliyokuwa nikipitia wameipiga pini je kuna namna...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi all members. Kama tunavojua science imekua kwa kiwango kikubwa, mambo mengi ambayo hayakuwezekana mwanzo mwa karne zilizopita leo yanawezekana. Laiti km wangerejea duniani wakazi wa miaka ya...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
hbr!katika zunguka zunguka zote za 4g hatimaye voda ndo wameweza game hili speed ya uhakika. package za 4G vodacom hizi hapa: Buy any bundle for Tsh 500 and above, and get bonus data from us for...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Kwa mawazo Yangu JF wangefanya improvement katika application yao Hii iwe na uwezo wa kutumia zaidi ya account moja katika app na kifaa kimoja ingekuwa ni jambo kubwa sana kwa watumiaji wa JF...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uwezo wa kupiga simu za video upo njiani kuletwa katika app ya WhatsApp. Inaonekana kwa bahati mbaya uwezo huo ulionekana kwa muda kwa wale wanaotumia toleo la matengenezo la WhatsApp (WhatsApp...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Samsung wameachia rasmi toleo la friji (jokofu) lenye TV ya inchi 21.5 touch screen likiwa na uwezo wa kuvinjari mtandaoni, kuonyesha muvi na kuonyesha tarehe za kuharibika kwa bidhaa zilizomo...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Nimejaribu kudownload program za ipad apple inataka niingize namba za kad ya atm yangu ya bank kama whatsup,fb,live score, na mengine mengi.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimeeka custom rom kwenye samsung galaxy s5 SM 900H na saiv ukitaka angalia imei haioneshi ila data na internet inapga vzr
1 Reactions
5 Replies
931 Views
hawayuniii ......... Naomba niende direct kwenye swali......... Nimekua mfatiliaji wa michezo mbalimbali kupitia simu kujua matokeo, huwa natumia Livescore ......... Sasa nimekua nikijiuliza na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wana IT naombeni msaada wenu tena. Nina simu ya samsung galaxy s5 ambayo ina imei mbili tofauti. Yaani imei iliyopo nyuma ya simu ni tofauti na imei inayoonekana niki'dial *#06#. Mwanzoni...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari zenu? Wakuu kidogo kuna swali linanitatiza sababu sijapitia gereji au katika mambo haya, ni hivi naimani mashine ili ifanye kazi basi inahitaji chanzo cha umeme sasa inawezekana vipi gari...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF. Nna tv aina ya singsung 21" ambayo tangu niinunue haijatimiza miaka miwili. Tv hii inatatizo ktk kuiwasha kwani nibonyezapo kitufe cha kuwashia huanza kuwaka na kuzima hapohapo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natanguliza shukrani zangu kwenu wanajamii, naomba kufahamishwa nitapata wapi hiki kifaa kwa hapa dar es salaam kiwe na uwezo wa 4G band 20 na band 3 na bei yake tafadhali kwa anaejua
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona anawatishia kwamba encrypted messages za WhatsApp anauwezo wa kuzisoma Kawataka wamwite wakae pamoja awasaidie kuziba miyanya,lakini kasema atawafanyia bure. ======================== John...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumia S6 edge. Nina kama wiki hivi tangu nikose access ya Play store. Kila nikijaribu kuifungua inaishia kunambia 'Couldn't sign In'. Naomba yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
MSAADA WA KU UPGRADE SAMSUNG NOTE KUIPELEKA KWENYE MARSHMALLOW..KWA ANAEWEZA KUNIELEKEZA CHA KUFANYA PLZ NAOMBA MSAADA... NOTE:simu nime i root so option ya software update is not available.
0 Reactions
4 Replies
950 Views
Back
Top Bottom