Msaada: Singsung tv 21" inasumbua kuwaka.

mwl. mziray

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
597
398
Habari wana JF.
Nna tv aina ya singsung 21" ambayo tangu niinunue haijatimiza miaka miwili. Tv hii inatatizo ktk kuiwasha kwani nibonyezapo kitufe cha kuwashia huanza kuwaka na kuzima hapohapo.

Kinachonishangaza zaidi ni kwamba tv hii ifikapo usiku ambapo watumiaji wa umeme huongezeka ndipo hukubali kuwaka ila mchana na asubuhi haiwaki kabisa.

Naomba msaada kwa aliewahi kupata tatizo kama hili.

Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom