Msaada: Play Store kutokufanya kazi

Rais Wa Malofa

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
683
782
Natumia S6 edge. Nina kama wiki hivi tangu nikose access ya Play store. Kila nikijaribu kuifungua inaishia kunambia 'Couldn't sign In'. Naomba yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Natanguliza Shukrani.
 
Chief-Mkwawa na wengine mje mtusaidie please.. Mimi Google play services imegoma napata message "Google play services error... Unknown issue with Google play services"

Sasa siwezi kufungua hata Gmail.
 
Sijajua unatumia simu gani, lakn jaribu kwenda settings>manage apps>all>google play services>clear cache. halaf restart simu
 
Natumia S6 edge. Nina kama wiki hivi tangu nikose access ya Play store. Kila nikijaribu kuifungua inaishia kunambia 'Couldn't sign In'. Naomba yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Natanguliza Shukrani.
Fanya kama hapo juu kwa google play services, then utahamia kwenye play store na clear data, na clear cache then restart simu
 
Sijajua unatumia simu gani, lakn jaribu kwenda settings>manage apps>all>google play services>clear cache. halaf restart simu
Natumia HTC one e9plus... Nimefanya hivyo lakini imeshindikana boss
 
Natumia S6 edge. Nina kama wiki hivi tangu nikose access ya Play store. Kila nikijaribu kuifungua inaishia kunambia 'Couldn't sign In'. Naomba yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Natanguliza Shukrani.
Kama tatizo bado lipo na unaweza Ku access kwenye browser au app ya YouTube fanya kama ifuatavyo.

Root simu yako na install root browser, fungua root browser > system > etc tafuta file lenye jina la Hosts na ulifungue, mstari wa pili una IP address mwanzoni edit kwa kuweka # save then reboot.

Eg 123.53.08 iwe #123.53.08.

Hakikisha file la hosts permission box zote ziwe na tick.

Au kama una simu nyingine copy file la hosts uweke kwenye simu yako.
8a59d8c88bc77a37aaee0ae7cccdce56.jpg
7bdec35d9a948475f74bac6c21bcdfe0.jpg

Ningeweka screenshot ya hosts ya kwangu lakni niliimodify kwa ajili ya kublock matangazo.
 
Asanteni saana, nimefanikiwa japo sijui hata nimefanikiwaje. Kwa sasa inafanya kazi
 
kama hujaroot mara nyingi playstore ikigoma ni mambo mawili
-inahitaji kuclear cache kama walivyosema wadau hapo juu
-apn yako ina proxy/ni ya wap hivyo utahitaji kutengeneza apn mpya
 
Ingia setting, nenda kwenye account futa account yako ya email,then nenda kwenye apps tafuta Google play service clear cache nenda na play store clear cache. Then ingia play store log in
 
kama hujaroot mara nyingi playstore ikigoma ni mambo mawili
-inahitaji kuclear cache kama walivyosema wadau hapo juu
-apn yako ina proxy/ni ya wap hivyo utahitaji kutengeneza apn mpya
Na nini tatizo la GOOGLE PLAY SERVICES ERROR MESSAGE **Imesababisha pia tatizo la Gmail kutokufunguka.. Msaada please
 
google playservice isipofanya kazi na app za google pia hazifanyi kazi

alternative
tumia app nyengine ya email kama vile mail hii huja na simu, fungua app ya mail halafu login huko.

kuhusu hilo tatizo lako error yake ni ipi? andika hapa full mesage au namba za hio error
 
playservice isipofanya kazi na app za google pia hazifanyi kazi

alternative
tumia app nyengine ya email kama vile mail hii huja na simu, fungua app ya mail halafu login huko.

kuhusu hilo tatizo lako error yake ni ipi? andika hapa full mesage au namba za hio error[/QUOTE]

Apps zingine kama Google+, hangouts zinafanya kazi except Gmail.
google playservice isipofanya kazi na app za google pia hazifanyi kazi

alternative
tumia app nyengine ya email kama vile mail hii huja na simu, fungua app ya mail halafu login huko.

kuhusu hilo tatizo lako error yake ni ipi? andika hapa full mesage au namba za hio error
 
8845f065891341134cb8157556065f2e.jpg

ec511a21bbae47cf2c640dd3834c2dfa.jpg

Chief-Mkwawa hiyo play services error haina error number, niki click hamna any other info

Hapo kwa chini nayo ni error nikifungua Gmail... Niki click Gmail inajifunga..

Thank you
 
kama hujaroot mara nyingi playstore ikigoma ni mambo mawili
-inahitaji kuclear cache kama walivyosema wadau hapo juu
-apn yako ina proxy/ni ya wap hivyo utahitaji kutengeneza apn mpya
Huku kuclear cache kunafanyikaje chief
Na kama nimeroot mara nying njia mbadala ni nini?
 
kiswahili gongana mkuu kuroot unaroot mara moja tu, nimesema mara nyingi ikigoma hio playstore wakati ukiwa hujaroot simu solution zake ni kuclear cache/data au kutengeneza apn sahihi

kuclear cache ya app yoyote ile nenda setting halafu halafu application (apps) halafu chagua app husika halafu utaona neno clear cache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom