Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

i had a pc bahati mbaya imepatwa tatzo nahitaji motherboard mpya frm hp but muhimbili ckufanikiwa hvo naomba msaada ka kuna sehemu nyingine mjini dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
670 Views
Habari wakuu.. Leo sina Habari njema sana but very Important.. Mamlaka ya Mawasiliano nchini imetoa tamko la kufungia simu zote feki ifikapo tarehe 16, Juni. Je, simu yako ni miongoni mwa simu...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wana jamvi Natumia LG G2 ina android version 4.4.2,nataka nipate latest version kati ya 5 au 6 . Naombeni msaada
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kwenu G.Ts Naomba kufahamishwa jinsi ya kufungua Key Editing Menu kwa model hizi za Wiztech Satellite Receiver: 8030_HD Classic 999_HD 999_HD Super 8010_HD Natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Kwa wale wanaotumia devices za Blackberry iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Free JamiiForums - Download JamiiForums - Free Apps from BlackBerry App World ili...
13 Reactions
80 Replies
28K Views
Naomba msaada anaejua namna ya kustopisha haya matangazo kozi ni shida mtu uko jf unachat mara 'install battery saver' hujakaa facebook limeziba screen nzima ni kero sasa. Ebu anaejua add broka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina external hard disk aina ya toshiba 500gb.kila nikijaribu kucopy vitu inaandika invalid MS-DOS function. Msaada wenu juu ya hili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kuhadaa watu kwa muda mrefu na kutengeneza faida ya kufa mtu kwa kutumia teknolojia ambayo wala siyo mpya Kampuni ya Apple inc. sasa imeanza kushtukiwa, watu wameanza kuamka na kujiuliza...
6 Reactions
193 Replies
20K Views
Naombeni mnijuze kuhusu bei ya Kioo cha HTC One E8 Kwa Kibongo bongo!?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada kuna simu HTC ONE M8 zilikuja zile updates za kwenye simu sasa katika harakati za kuupdate nilidownload na kuinstall! Baada ya hapo wakati na install simu ikazima ghafla na kuanza...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Habari wandugu memory card yangu nikiichomeka kwenye deki huwa inataka kusoma alafu inakataa inaweza ikawa inatatizo gani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeroot Simu Yangu Leo, Haina Hata Wiki. Nimefanikiwa Vizuri Ila Nilipozima Kuichaji, Ile Inataka Kuwaka Ikaja Alama Ya Mshangao Ya Njano Na Maandishi Juu Yake; Custom Binary Blocked By Fpa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtandao maarufu wa picha duniani instagram wenye watumiaji zaidi million mia tano dunia nzima umetambulisha muonekano mpya siku ya Jumatano may 11,2016. Katika muonekano huo mpya aplikesheni hii...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Heshima kwenu wadau. Naomba kujuzwa wanapouza original betri za simu aina ya lenovo a806 kwa Dar naomba mnielekeze. Nimejaribu kutazama online mpaka itumwe naona ni process hivi kiasi tha's...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wapendwa ni wapi nitampata fundi au karakana ya mafundi wa vifaa vya umeme hasa upande wa mfumo wa sauti. Walio na uwezo wakuagiza kifaa kama hapa bongo hakitapatikana kwa ajili yakukibadilisha na...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Kuna maswali mengi sana mitaani watu wakisema mwezi wa sita simu feki zitazimwa. Kitaalamu na kiuhalisia TCRA hawataizima simu iliyo feki, na si kwamba simu iliyokuwa imewashwa itazimika na kuwa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
wanausalama wa mambo ya mitandao wanaelewa hii janja inayoitwa "SQL injection". sasa kwa taarifa tu ni kwamba lile sakata la panama papers liliibuliwa baada ya njia hii kutumiaka kuingilia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu Nina Music System aina ya Sony toleo la zamani ambazo hazina usb port ila inacheza tape za kawaida na dvd Nauliza kama naweza kupata fundi wa kuimodify kwa kuiwekea usb port...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya kuinstall ile app ya tracking sasa naleta mrejesho na maoni yangu juu ya app hii. Nazidi kusisitiza kua app hii si ya kuitumia kimzaha kwani inaweza ikakuletea matatizo kadhaa ikiwepo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
WAKUU SALAMU Nina shida inanisumbua takribani wiki sasa nina PC HP, tatizo nililo nalo ni hili Nikiwa kwenye word document, nikitaka kuedit maneno, nikichukua cursor nikaweka katika ya maneno...
0 Reactions
6 Replies
937 Views
Back
Top Bottom