John McAfee kasema anaweza kusoma message za WhatsApp

Rapherl

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
3,504
2,256
1463412879895.jpg

Naona anawatishia kwamba encrypted messages za WhatsApp anauwezo wa kuzisoma

Kawataka wamwite wakae pamoja awasaidie kuziba miyanya,lakini kasema atawafanyia bure.

========================

John McAfee claims he can read encrypted messages on Android (updated)

LIFARS, which conducted forensics here, believes that the trick didn't involve getting root access to the phone, and that there were hints of both keyboard recording and spyware vulnerabilities. This would target an everyday Android phone, then, not just one that's already compromised.

McAfee says he's sharing the flaw after talking to Google. We've asked Google itself if it can shed more light on the claims and outline its plans for a fix (assuming one is needed). If his team really did find a way around encryption, though, this could represent a serious problem. Simply speaking, you couldn't guarantee that a chat was private unless you knew that everyone was running a safe operating system.

Update: You know what they say about stories sounding too good (or in this case, too interesting) to be true? Yeah, that may well be true. Gizmodo's own sources maintain that McAfee was trying to perpetrate a hoax. Reportedly, he wanted to send reporters phones "pre-cooked" with keylogger malware to convince them that he'd cracked WhatsApp. He supposedly changed his story to focus on an Android vulnerability when reporters weren't sure about their ability to verify the details.

McAfee isn't having Gizmodo's take on things (his response is colorful, to put it mildly) and swears that how the malware reached the phones "is the story." Still, we'd take his protestations with a big grain of salt unless Google can attest to having spoken to him.

Chanzo: engadget
 
Kwa dharau kwamba atawafanyia bure..sidhani kama ni kweli au vitisho
ila encrypted ya whatsapp ipo siku kuna wahuni wataichokonoa tuu
 
Nna last version ya whatsApp ila bado sijajua hii kitu inafanyaje kazi...
Kila nnaemuuliza ni mapichapicha tu....

Msaada pliz
 
Nna last version ya whatsApp ila bado sijajua hii kitu inafanyaje kazi...
Kila nnaemuuliza ni mapichapicha tu....

Msaada pliz
Nilishawahi kutoa ufafanuzi humu namna encryption na decription inavyofanya kazi.

Let say mtu A na B wanachati kwa whatsapp. Basi wote hao wawili kila mmoja ana key ya kufungua msg za mwenzake.

Na key ni kati ya watu wawili, akiongezeka mwingine anapewa key yake.


Sasa mfano:

Mimi nachati na wewe na key yangu kwako ni 1.

Hivyo wewe una key yangu ya 1.

Nikiandika neno HABARI , kwako linakuja kama JBCBSJ hivyo wewe unatumia ile key ya 1 kung'amua hilo neno.

Na wewe unanipa key yako , let say 3 ambayo nitaitumia kung'amua msg zako
 
Kwa dharau kwamba atawafanyia bure..sidhani kama ni kweli au vitisho
ila encrypted ya whatsapp ipo siku kuna wahuni wataichokonoa tuu
Inategemea na algorithm gani imetumika for encryption, zipo algorithms impossible to crack.....The point ni system security ya sender and receiever ndo will determine kama chatting yenu ni secure au laah......
"Simply speaking, you couldn't guarantee that a chat was private unless you knew that everyone was running a safe operating system."
 
Nilishawahi kutoa ufafanuzi humu namna encryption na decription inavyofanya kazi.

Let say mtu A na B wanachati kwa whatsapp. Basi wote hao wawili kila mmoja ana key ya kufungua msg za mwenzake.

Na key ni kati ya watu wawili, akiongezeka mwingine anapewa key yake.


Sasa mfano:

Mimi nachati na wewe na key yangu kwako ni 1.

Hivyo wewe una key yangu ya 1.

Nikiandika neno HABARI , kwako linakuja kama JBCBSJ hivyo wewe unatumia ile key ya 1 kung'amua hilo neno.

Na wewe unanipa key yako , let say 3 ambayo nitaitumia kung'amua msg zako
Unatisha bro!!
 
Inategemea na algorithm gani imetumika for encryption, zipo algorithms impossible to crack.....The point ni system security ya sender and receiever ndo will determine kama chatting yenu ni secure au laah......
"Simply speaking, you couldn't guarantee that a chat was private unless you knew that everyone was running a safe operating system."
mkuu umeongea vyema na kitaalamu zaidi
 
Back
Top Bottom