Msaada wa ku-update Samsung Note

Issuna

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,203
7,625
MSAADA WA KU UPGRADE SAMSUNG NOTE KUIPELEKA KWENYE MARSHMALLOW..KWA ANAEWEZA KUNIELEKEZA CHA KUFANYA PLZ NAOMBA MSAADA...
NOTE:simu nime i root so option ya software update is not available.
 
Unroot ndio ufanye update.ukiroot simu huwezi kuupgrade kwenda version nyingine.
 
Back
Top Bottom