cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 160
Natanguliza shukrani zangu kwenu wanajamii, naomba kufahamishwa nitapata wapi hiki kifaa kwa hapa dar es salaam kiwe na uwezo wa 4G band 20 na band 3 na bei yake tafadhali kwa anaejua
Bei 150,000/= zinapatikana Tigoshop auTTCL shopNatanguliza shukrani zangu kwenu wanajamii, naomba kufahamishwa nitapata wapi hiki kifaa kwa hapa dar es salaam kiwe na uwezo wa 4G band 20 na band 3 na bei yake tafadhali kwa anaejua