habari wadau ! naombeni msaada wenu nataka ku promote page yangu ya fb, kama unaweza nielekeza namna ya kupromote page ya fb itakua frsh maana naona natakiwa kulipia viza au Master card na ni bei gani kupata izo Master na visa ?
equity kufungua akaunti bei gan kkMkuu kwanza tambua ni gharama sana, badget kwa siku inaanzia dollar 5-20 kulingana na ukwasi wako kwa muda wa siku kumi, so kama utachagua badget ya 5 $ kwa siku means itakugharimu $50 kwa siku kumi na unatakiwa uwe na account ya bank inayosuppot manunuzi online katika bank naushauri kajiunge Equity kama ipo karibu nawe haina haja ya kujaza kamaratasi yoyote zaidi ya kufungua account nakadi yako itakuwa ipo tayari kufanya manunuzi au malipo online muda wowote ukideposit ukwasi tu kwenye account yako. Mimi nimelipia juzi kupromote page yangu nikajua ni dollar 5 kwa siku kumbe sivyo nilivyogundua mchezo ikabidi niende bank nikadraw pesa yangu maana nilikuwa nimeweka badget ya dollar 20 nikidhani ni kwa siku 10 hiyo pesa kumbe i was wrong maana yake ilikuwa $20×10day aisee ni pesa mingi mno nikaona hapa nitabai masikini
Elfu kumi tu mkuu, bank bomba sana hakuna foleni wala mikwarokwaroequity kufungua akaunti bei gan kk
ITS 1 USD MKUU MINIMUM NOT 5 USD MINIMUMMkuu kwanza tambua ni gharama sana, badget kwa siku inaanzia dollar 5-20 kulingana na ukwasi wako kwa muda wa siku kumi, so kama utachagua badget ya 5 $ kwa siku means itakugharimu $50 kwa siku kumi na unatakiwa uwe na account ya bank inayosuppot manunuzi online katika bank naushauri kajiunge Equity kama ipo karibu nawe haina haja ya kujaza kamaratasi yoyote zaidi ya kufungua account nakadi yako itakuwa ipo tayari kufanya manunuzi au malipo online muda wowote ukideposit ukwasi tu kwenye account yako. Mimi nimelipia juzi kupromote page yangu nikajua ni dollar 5 kwa siku kumbe sivyo nilivyogundua mchezo ikabidi niende bank nikadraw pesa yangu maana nilikuwa nimeweka badget ya dollar 20 nikidhani ni kwa siku 10 hiyo pesa kumbe i was wrong maana yake ilikuwa $20×10day aisee ni pesa mingi mno nikaona hapa nitabai masikini