Je inawezekana Kudownload Movie katika network iliyokuwa Blocked??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
Nilikuwa na uwezo wakudownload sofware na different programs na Movie lakini sasa hivi ofisi nayoitumikia wamebrock torrents zote hivyo IP niliyokuwa nikipitia wameipiga pini je kuna namna yakuweza kupata huduma hii japo katika sever zao wamenikomesha??
Msaada bandugu
 
hebu jaribu kudownload toka site hii

Index of /

hapo inategemea na namna waliotumia kublock wanaweza block websites, au wakablock extension kama .mp4, .avi nk au wakablock namna za kudownload kama ftp, p2p nk kutokana na namna walivyoblock ndio na wewe una bypass

pia unaweza tumia anonymous proxy au vpn ili kujificha usionekane unachofanya
 
Ukumbuke tu kuwa ni kosa kubypass blockage na wakikukamata utakuwa na kesi ya kujibu kwa boss wako. Ila itategemea Na how serious is your institution kama ipo ki serikali serikali hakuna shida we bypass tu. Pia ujue uwezekano wa kujua ni wewe upo kwa hiyo usitegemee utajificha wasikutambue
 
hebu jaribu kudownload toka site hii

Index of /

hapo inategemea na namna waliotumia kublock wanaweza block websites, au wakablock extension kama .mp4, .avi nk au wakablock namna za kudownload kama ftp, p2p nk kutokana na namna walivyoblock ndio na wewe una bypass

pia unaweza tumia anonymous proxy au vpn ili kujificha usionekane unachofanya
Mkuu ili nijue nifanyeje kufahamu method iliyotumika.
 
tumia hio link hapo juu ukiweza kuingia na kudownload inamaana hapo wameziba tu website

ukiweza kuingia na kukataa kudownload ina maana wameziba extension hizo za video (movie)
 
Ilishawai nitokea hiyo ofisi moja nilikuwa napiga field basi wao waliblock utorrent isipige kazi ila website unaingia vizuri lakini niliwakomesha vibaya
 
Tumia vpn ku unblock hizo sites
Kutumia VPN inategemea kwa mfano cyberghost VPN wanalimit Sana spidi pia kuna openvpn kwa server Kama vile vpnbook na wenyewe wanablock torrents. Kama hapa mnatumia windows na unajua namna ya kuset pptp (kama hujui jinsi ya kuseti Google "how pptp on windows") tembelea hii web update server ambayo haina limit kabisa
Free VPN Accounts | FreeVPN.me - Free OpenVPN and PPTP Accounts
Ukishindwa install openvpn kwenye hiyo komputer halafu download certificate bundle kutoka kwenye hiyo web hapo juu na unzip hayo mafile halafu hiyo openvpn ifungue na click kwenye sehemu ya kuadd server files from local baada ya hapo connect na kisha unaweza endelea na mambo yako.
Ila free VPN ambayo haina limit ni

opera sasa hivi wana free unlimited vpn, kwa matumizi madogo tu kama haya unatumia opera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom