Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,076
- 1,976
Habari zenu? Wakuu kidogo kuna swali linanitatiza sababu sijapitia gereji au katika mambo haya, ni hivi naimani mashine ili ifanye kazi basi inahitaji chanzo cha umeme sasa inawezekana vipi gari ukiiwasha na ikiwaka unaweza kutoa betri na ikaendelea kuwaka? Ahsanteni