azzurre
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 107
- 96
Hi all members.
Kama tunavojua science imekua kwa kiwango kikubwa, mambo mengi ambayo hayakuwezekana mwanzo mwa karne zilizopita leo yanawezekana.
Laiti km wangerejea duniani wakazi wa miaka ya nyuma ambawo usafiri wa kifahari kwa enzi zao ni kutumia wanyama km farasi, ngamia nk leo watashanga kuona ndege, treni, gari na vipando vengine.
Niende kwenye mada husika, najiuliza lkn nakosa majibu labda inachangiwa kutokana na mimi sikuwahi kusoma masomo ya sayasi.
Na jiuliza hivi ni kweli kuwa wanasansi wamefanikiwa kufika mwezini? Na kama wamefanikiwa wametumia njia gani kufika? Na kama wamefanikiwa kufika jee wametumia njia gani kurudi duniani?
Nauliza masuala haya kwa sababu ndege ikitaka kuruka inatumia running way kukimbia na baadae kupaa kwa kucheza na upepo, na rocket inarushwa katika mitambo yake na hutoka kama vile bomu au risasi but nashindwa kujua hivi chombo kinachotumiwa kufika kwenye mwezi wakati wa kurudi,huruka km ndege i.e aircraft, helcopter au rocket na km inaruka km ndege je mwezini kuna running way ya kurukia au kuna vituo vya kurushia rocket au unarudi km vile umepanda mti mrefu na unajiachia unafika chini (unakuja duniani kutoka mwezini) au inakuaje?
Naomba member wanafahamu wanifahamishe.