Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari za weekend hii waungwana. Leo nilipata notification ya system update ya TECNO BOOM J8 ili kufix bugs zilizopo kwenye version ya sasa. Baada ya kuapkuwa na nilipoanza kuisakinisha (ku...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu? Mimi najitahidi ku install window 8 kwenye desktop yangu aina ya HP compaq inakusanya mafile ila ikijirestart inakuja error namba 2211 yenye maelezo haya 'Memory not configured...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Simu yangu ya iphone 4s haitoi option ya hotspot ninapoweka laini ya halotel, nashindwa kushare na macbook yangu. Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya kupata huduma ya kushare network ktk laini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila ikizima nikisema niiwashe inaandika hivyo na inakaa muda mrefu Android is upgrading Optimizing app 1 to 200 Ina loading mda mrefu ndo iwake hata 30 minutes TECNO_8H Ina apps nying
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Jamani naombeni msaada ndugu zangu kila nikitaka kuangalia movies you tube wananiambia nifuate blue link je naipataje ili niweze angalia hii movie London has fallen?
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Kichwa cha habari kinajieleza mwenye hotspot device;tufanya biashara nicheck hapa au pm.
0 Reactions
1 Replies
800 Views
cc. Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niko na smartphone naomba kuuliza nitaonaja hii finally ya man u please
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Wadau kwenye hii Tecno p5 ya rafiki yangu ile sehemu ya sim management-defaut setting kwenye voice call,video call,messages hizo sehemu zimejifunga kwa hiyo huwezi kubadili chochote mfano unataka...
0 Reactions
4 Replies
682 Views
Habar za wakat huu Wadau. Nina tatizo kwenye Simu yangu, nikiweka laini ya Airtel inawasha GPS automatically kama nimewasha data na hata nikizima baada ya sek kama 45 inajiwasha tena nimeshindwa...
0 Reactions
5 Replies
869 Views
Wakuu kuna rafiki yangu anasimu tajwa hapo juu ina tatizo kila anapompigia mtu inaleta Ujumbe normal calls are restricted by access control,sasa naomba msaada nitatatua vipi tatizo hill.
0 Reactions
2 Replies
935 Views
wap naweza download muv mpya for free kwa kutumia idm
1 Reactions
5 Replies
934 Views
Natumai muwazima wapendwa wanajukwaa, Naomba maelekezo ya kuungaanisha / kufanya wi-fi kuwa active na kuweza kuaccess internet kwenye compyuta, Kwa kutumia simu aina ya Sony experia z ultra...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nikikutana na changamoto ya simu za android hasa kwenye internet! Wakati simu inapokuwa ikitumika kunakuwa na application zinazotokea zikihitaji ziwe installed kwenye simu na zinazuia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Nina kacmu ka tecno j7 je ninaweza kuweka line ya 4G. Huku nilipo tigo wameleta line za 4G na wanabadilisha au kuuza kwa Tsh 2000. Naogopa kupata hasara ya pesa kwa kununua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale wenzangu wapenda ma Games kama mimi, Napenda kushare games hili Bonyeza HAPA kua
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni tricks ndogo BOFYA HAPA
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Jana Tigo wamezindua App store yao. Baada ya kuona tangazo lao kwenye browser ya Opera nikaclick, ile kuingia tu inaniambia nimejiunga na AppStore na nimepata SMS inayosoma: "Asante kwa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Enzi za kuchaji simu mara moja au mbili tuu kwa wiki, enzi za kutoshtuka kivile pale simu inapodondoka…. Watumiaji wapya wa simu watakuwa hawaelezi haya ila wale waliokuwa na simu tokea enzi za...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom