Multiple Accounts in JF App

vigor'intent

Member
Sep 18, 2014
60
29
Kwa mawazo Yangu JF wangefanya improvement katika application yao Hii iwe na uwezo wa kutumia zaidi ya account moja katika app na kifaa kimoja ingekuwa ni jambo kubwa sana kwa watumiaji wa JF Forum.
Sijui wewe mdau unadhani ni features gani iongezwe kwenye app ya JF
 
Mimi sijaona sababu ya hiyo mambo.. Id mbili mbili za nini mkuu...
Ujue kuna members wana more than one ID Huku... Hata IG first ilionekana kama haina maana lakini multiple account inaweza ikawa na umuhimu sana kwa hizi forum and social media is. JF, FB,IG,n.k "kwa mawazo Yangu lakini"
 
Back
Top Bottom