Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Enzi za kuchaji simu mara moja au mbili tuu kwa wiki, enzi za kutoshtuka kivile pale simu inapodondoka…. Watumiaji wapya wa simu watakuwa hawaelezi haya ila wale waliokuwa na simu tokea enzi za...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani hivi sahizi ukifungu a site yao una pigwa na porn za ajabu ajabu sijui kama wanajua....hata ukisearch google wanakuambia this site may have been hacked!...check now update ukifungua link...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kwa mtu anayefahamu vitu vya ziada zaidi ninavyoweza kufanya kwaaji ya ulinzi wa simu ikiibiwa au mtu akitaka kufungua taarifa za simu yangu,nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Habari wana jamii forum, Ninashida na king'amuzi changu cha startimes picha imekata halafu inaniambia No acces not subscribed, nimenunua kina mwezi na nusu na walinambia nitaangalia miezi 3 ndo...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari wana jf, Nina simu yangu Blackberry Z10 nimei-ristoo sasa kwa bahati mbaya ilikaa muda mrefu sana kama lisaa ikiwa ina load tu mpaka chaji ikaisha sasa baada ya kuchomeka kwenye charge...
0 Reactions
3 Replies
797 Views
Nauliza kidogo, naona watu wanazichangamkia sana hizi gari aina ya TOYOTA BREVIS. Kuna nini cha ziada? ============ The Toyota Brevis is a mid-sized luxury sedan introduced in May 2001...
0 Reactions
165 Replies
61K Views
Je unajua kipi kinafanyika kwa akaunti ya Facebook ya mtu aliyefariki? Hiyo ndio mada yetu ya wiki hii katika kipindi cha Sema Uvume. Facebook imetangaza sera mpya inayokuruhusu kuchagua mtu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nina blog yangu shida ni kwamba nashindwa kuweka vipengele mfano msomaji akifungua akute kuna sehemu ya habari, magazeti, ajira nk yani akifungua halafu aende kwenye sehemu husika
1 Reactions
4 Replies
932 Views
Wapendwa za asubuh,, naomba msaada jinsi gani naweza kukonect laptops mbili na kutransfer file kutoka laptop moja kwenda nyingine kwa kutumia lan cable,, au ka kuna njia nyingine tofauti na lan...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeona niwashirikishe wenzangu wenye simu baada ya kushirikishwa kwamba ni vyema unapochaji hakikisha alama ya kwenye kichwa cha chaja iko sahihi unapoingiza badala ya kubahatisha kwani kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila nikifungua mozilla Firefox inaandika "Firefox has stopped Working" halafu inasema check Online for solution and close a program hata nikifanya hivyo bado haitatui hayo matatizo ki fupi...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Naombeni msaada kupata setting za internet halotel. Nashindwa kuenjoy internet
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau natumia simu aina ya sumsung Duos laini mbili na model namba yake ni SM-G 360H Hii simu yangu ina high sensitve touch ambayo nikiwa naitumia wakati nimewasha data inaniumiza sana ngozi ya...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Habari zenu wanajamii forum Naomba msaada kwani kompyuta yangu imeingia kwenye maji na haiwaki tena,je inaweza kuirudia hali yake ya awali au nifanyaje?hekima zenu wakuu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kupitia jukwaa hili nilitoa thread kuhusu namna ya kuinstall window katika laptop yangu. Nashukuru wadau wote mlionishauri mpaka nimefanikiwa kuweka window nyingine baada ya iliokuwepo kucollapse...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Wadau wa kodi hii easy advanced setting katika kodi unaiseti vipi kulingana na mitandao yetu ya hapa tz ili kuondoa buffering.naomba msaada.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nokia Is Back in the Mobile Phone Business by Reuters May 18, 2016, 7:50 AM EDT E-mail Tweet Facebook Linkedin Share icons HMD Global Oy will use the Nokia name in brand-licensing deal...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini ni zaidi ya wiki mbili sasa kuna kiasi kimekuwa blocked katika akaunti yangu hivyo kushindwa kufanya transaction mpya baada ya kuwasiliana na customer care wa CRDB naambiwa sababu ni...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wanaJF, Jana nilijaribu kutaka kujua kama simu yangu ya star time panet 5 ni bandia, nikafanya kama walivyotuelekeza TCRA baada ya kufanya hivo majibu yakaja kuwa simu feki...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamu setting nzuri katika hizi authentication(chap,pop)APN protocol(ipv4,6,4/6)APN roaming protocol (ipv4,6,4/6)natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Back
Top Bottom