mansakankan
Member
- May 31, 2015
- 23
- 5
Wanajamii msaada wenu unahitajika nina Macbook Pro adapter imeanza ghafla nilipoiconnect kwa pc imegoma kuchaj pia inatoa sauti kama ndani kuna kamota kanazunguka.
Je tatizo hilo linarekebishika kwa urahisi ama ndo ishakufa maana kuna fundi nimempelekea anasema ni transistor na matengenezo anadai mi 70,000.
Ka kuna mtu mwenye uzoefu wa hii kitu naomba ushauri.
Natanguliza shukran