Msaada: Naomba kujua Kuhusu Livescore

Msaada: Naomba kujua Kuhusu Livescore

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,248
Reaction score
1,746
hawayuniii .........

Naomba niende direct kwenye swali.........

Nimekua mfatiliaji wa michezo mbalimbali kupitia simu kujua matokeo, huwa natumia Livescore .........

Sasa nimekua nikijiuliza na sipati jibu" unakuta labda kw muda huo mechi zipo kama 200 hivi zinachezwa muda mmoja, zinaupdatiwa kila dk. kw wakati mmoja, jee ni nani anafanya hiyo shuhuli ............

na je wanapataje matokeo kutoka kwenye hivyo viwanja vyote 200 kila dk. na sio matokeo tu, mpaka dk. mchechaji amepata kadi, goli limefungwa dk. ya ngapi .............

Nawasilisha.
 
si unalipia tu mkuu unapewa data zipo kampuni nyingi tu kama opta wanaofanya hizo kazi.

mfano kampuni ambayo inakusanya statistics zote za ligi ya uingereza ina data kila sekunde kumefanyika nini wao wanaziuzia website kama goal.com au hio livescore.

kiufupi livescore wananunua data za matokeo toka source mbalimbali
 
Back
Top Bottom