Msaada, unaweza kudownload program za ipad apple bila kuingia katika store yao?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Nimejaribu kudownload program za ipad apple inataka niingize namba za kad ya atm yangu ya bank kama whatsup,fb,live score, na mengine mengi.
 
tengeneza acount kama mtoto una miaka 17 haitataka atm.

pia unaweza kusideload baadhi ya app japo sio nyingi sababu developer wengi wa app hawataki udownload kwenye site zao
 
Unaweza ku-download bila kuweka namba za card yako. Angalia hii link maelezo yote yapo. kama kiingereza ni tatizo useme tukuwekee kwa kiswahili. Create an iTunes Store, App Store, or iBooks Store account without a credit card or other payment method - Apple Support

Shukrani mkuu nilifanikiwa sasa nkianza kudownload inaniambia ni update kwenda ios 7 hii ipad ni ios 5.11 nifanyeje hapo kuzipata hiz application na nkichek kwenye kua update ina niambia zipo updated kila program nnayo igusa inaniambia ni update ili iwe ios 7 na hiyo ios 7 sijaipata.
 
Hapo sasa inabidi uanze ku-update operating system ya i.e. IOS. Unatakiwa uwe kwenye sehemu yenye wi-fi yenye speed nzuri kwani file ni kubwa na sidhani kama utaweza ku-dowanload kwenye hizi mb za mafungu! Labda uwe karibu kabisa na mnara wa kampuni unayotumia na mgao wa mb uwe ni unlimited. Mbinu nyingine ni ku-update kwa kutumia computer yenye latest itunes kama nilivyo-copy and paste hapo chini kutoka hapa If you need more space for an iOS update - Apple Support

To download the latest version of iOS using iTunes, follow these steps:

  1. Install the latest version of iTunes on your computer.
  2. Plug your device into your computer.
  3. In iTunes, select your device.
  4. In the Summary pane, click Check for Update.
  5. Click Download and Update.
 
Hapo sasa inabidi uanze ku-update operating system ya i.e. IOS. Unatakiwa uwe kwenye sehemu yenye wi-fi yenye speed nzuri kwani file ni kubwa na sidhani kama utaweza ku-dowanload kwenye hizi mb za mafungu! Labda uwe karibu kabisa na mnara wa kampuni unayotumia na mgao wa mb uwe ni unlimited. Mbinu nyingine ni ku-update kwa kutumia computer yenye latest itunes.

To download the latest version of iOS using iTunes, follow these steps:

  1. Install the latest version of iTunes on your computer.
  2. Plug your device into your computer.
  3. In iTunes, select your device.
  4. In the Summary pane, click Check for Update.
  5. Click Download and Update.
Poa mkuu nkikamilisha ntarud tena.
 
Back
Top Bottom