Samsung waja na friji yenye TV ya touch sceen ya inchi 21.5

Jay Gees

Member
May 8, 2016
29
16
image-700x325.jpg

Samsung wameachia rasmi toleo la friji (jokofu) lenye TV ya inchi 21.5 touch screen likiwa na uwezo wa kuvinjari mtandaoni, kuonyesha muvi na kuonyesha tarehe za kuharibika kwa bidhaa zilizomo ndani yake.

Samsung-Family-Hub-Refrigerator.jpg

Friji hilo kwa mara ya kwanza limezinduliwa jijini Monaco linabadilisha kabisa sura na mwenekano wa majokofu ya sasa kwa kuongeza vionjo zaidi katika uundwaji wake. Likiwa na kioo kikubwa cha touch screen friji hilo litamuwezesha mtumiaji wake kuangalia muvi, kuvinjari mtandaoni na kuangalia vinywaji au vitu vilivyomo ndani ya friji hilo kabla ya kulifungua.

Friji hilo ndani lina kamera mbili zinazopiga picha kila friji linapofungwa na kufunguliwa na kutunza picha hizo kwa ajili ya usalama wa bidhaa zilizomo ndani ya jokofu hilo kupitia app maalumu.

Friji hilo pia lina uwezo wa kutunza kumbukumbu zote za muhimu kama kiasi cha jotoridi kilichomo ndani ya friji, mgandamizo pamoja na tarehe za kuharibika kwa bidhaa ndani zilizomo ndani.

Samsung-Family-Hub-Refrigerator-01.jpg
 
Hiki kitu sio kipya , mbona hao hao samsung walishatengeneza INTERNET FRIDGE tangu mwaka 2012. Ilikuwa na screen ndogo kama 10". . Na sifa zilikuwa hivyo hivyo. So hakuna kipya hapo.

Search youtube : Samsung Internet Fridge
 
Attachments

  • WP_20160515_13_14_56_Pro.jpg
    WP_20160515_13_14_56_Pro.jpg
    118.3 KB · Views: 76
image-700x325.jpg

Samsung wameachia rasmi toleo la friji (jokofu) lenye TV ya inchi 21.5 touch screen likiwa na uwezo wa kuvinjari mtandaoni, kuonyesha muvi na kuonyesha tarehe za kuharibika kwa bidhaa zilizomo ndani yake.

Samsung-Family-Hub-Refrigerator.jpg

Friji hilo kwa mara ya kwanza limezinduliwa jijini Monaco linabadilisha kabisa sura na mwenekano wa majokofu ya sasa kwa kuongeza vionjo zaidi katika uundwaji wake. Likiwa na kioo kikubwa cha touch screen friji hilo litamuwezesha mtumiaji wake kuangalia muvi, kuvinjari mtandaoni na kuangalia vinywaji au vitu vilivyomo ndani ya friji hilo kabla ya kulifungua.

Friji hilo ndani lina kamera mbili zinazopiga picha kila friji linapofungwa na kufunguliwa na kutunza picha hizo kwa ajili ya usalama wa bidhaa zilizomo ndani ya jokofu hilo kupitia app maalumu.

Friji hilo pia lina uwezo wa kutunza kumbukumbu zote za muhimu kama kiasi cha jotoridi kilichomo ndani ya friji, mgandamizo pamoja na tarehe za kuharibika kwa bidhaa ndani zilizomo ndani.

Samsung-Family-Hub-Refrigerator-01.jpg
Hii kitu inazaidi ya mwaka mmoja sasa, nilisa sikia tangia mwaka jana. Nahic walikuwa bado hawajazindua rasmi
 
Sie wenye vifriji vimejaa karot na viporo mfriji wote wa nn?wakt kuna flat ya singsung laki 350 tu?aaah hzo mbwembwe siziwez
 
Wameweka tablet kwenye friji. Sidhani kama ni ubunifu wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom