Aurelio_CSM
Member
- Oct 14, 2014
- 57
- 22
Naomba kujua baada ya mtumiaji wa Mpesa. Tigo pesa na huduma zingine kufariki account yake huishia wapi na je huweza kurithiwa kama wanavyofanya bank? Na Kwa nn hawaulizi mtu wa kurithi account zetu baada ya sisi kufa. Asante