Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

YAPATA WIKI SASA MPAKA MUDA HUU NIMESHINDWA KUIFUNGUA SIMU YANGU NOKIA ASHA 301 MAANA HIYO RESTRICTION CODE SIIJUI
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Nomba msaada, nina manual book yenye lugha ya kijapan sasa nahitaji software ya kutafsiri kwenda kiingereza kama kuna mtaalam anayo. Msaada tafadhari.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Msaada ndg nimetumiwa picha zangu za graduation via email but nikitaka kuzidownload inasema ask permission to google drive. Msaada wenu jmn
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naombeni mnisaidie kujua kama simu yangu ni feki au original.aina ya simu yangu ni samsung grang 2 duos.niliangalia kwa kutumia na ya TCRA *#06#ikaniletea IMEI hazifanani za nyuma ya cm...
2 Reactions
79 Replies
10K Views
kutoka Vodacom watoe 4G yao, naona watu wanalinganisha speeds za Halotel na 4G. mwenyewe kama mtumiaji wa Halotel bundle ya usiku, nawapenda sana, lakini kulinganisha speeds za 4G na 3G ni kitu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana ni applications gan za Android ambazo zinaweza kuweka black list katik cm na sms!?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sijui ni mimi tu au.? Kwasababu halotel nikiingia ndani tu network inashuka hadi bar 2 au inabaki lakini data inakataa kabisa kufunguka. Nimesha jaribu sehemu kama 3 mikoani lakini ni hivyo hivyo.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, .Locky virus amekuwa famous mwaka huu na hadi sasa anasumbua dunia kwa ku encrypt documents na ana ambukiza kwa kupitia email. Kuna mtu aliyepata solution, zaidi ya hunterspy4...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Kama inavyosomeka hapo juu, nimepatwa na hilo tatzo la simu ukiizima inaandika "custom binary frp lock" kwa maandishi mekundu. Mwenye ujuzi na hili naomba msaada.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu? Nimatumaini mko salama.. Ngoja niingie kwenye mada: wakuu jana (15/05/2016) nimenunua home theatre pale game baada ya kuvitiwa na sample iliyowekwa. Ndugu, nilivochagua hyo bidhaa...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Habari wakuu Nahitaji simu hii ya Lenovo K3 Note, naomba anayefahamu anijulishe kwa Dar nitapata wapi? Natanguliza shukrani
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ninahitaji kufungua website kama ya kupatana,jumia,kaymu n.k kwa mwenye uwezo wa kutengeneza anitajie gharama kama anahofia hapa ani PM
1 Reactions
3 Replies
2K Views
naitafuta powerbank itakayoweza kupandisha chaji wakat naendelea ku surf yenye mAh 30000 na zaid. ninayo ya samsung mAh 16000 lakin naona chaj haipandi nikiwa internet surfing. iwe nzuri kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii ni application kwa watumiaji wa samsung smartphone, ni mahususi kwa ajili ya kuangalizia kama simu yako ni original kwa maelezo zaidi na kui download Bonyeza HAPA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LET SEE HOW CREATIVE SMARPHONE USER, TUNGA HASHTAG KALI CLICK LINK CHINI HAPA KUSHINDA IBUKA NA HASHTAG KALI KUHUSU TECNO BOOM J8 - TECNO MOBILE COMMUNITY OFFICIAL FORUM
2 Reactions
3 Replies
770 Views
Unable to find a bootable option, kuna mwenye tatizo kwa window phone yake kuandika hivyo?
0 Reactions
8 Replies
981 Views
i had a pc bahati mbaya imepatwa tatzo nahitaji motherboard mpya frm hp but muhimbili ckufanikiwa hvo naomba msaada ka kuna sehemu nyingine mjini dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
670 Views
Habari wakuu.. Leo sina Habari njema sana but very Important.. Mamlaka ya Mawasiliano nchini imetoa tamko la kufungia simu zote feki ifikapo tarehe 16, Juni. Je, simu yako ni miongoni mwa simu...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wana jamvi Natumia LG G2 ina android version 4.4.2,nataka nipate latest version kati ya 5 au 6 . Naombeni msaada
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom