Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 683
- 782
Jamani wana IT naombeni msaada wenu tena. Nina simu ya samsung galaxy s5 ambayo ina imei mbili tofauti. Yaani imei iliyopo nyuma ya simu ni tofauti na imei inayoonekana niki'dial *#06#.
Mwanzoni nilijua hii simu ni fake ila nimeshajaribu kutumia mbinu mbalimbali za kutambua simu na zote zimeitambua kama simu original.
naomba kwa yoyote anayefahamu anisaidie jinsi ya kukata hii imei inayoonekana niki'dial *#06# na badala yake ionekane imei iliyopo nyuma ya simu.
Natakunguliza shukrani.