Vodacom 4G ni hatari

hero7

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
222
70
5321479675.png

hbr!katika zunguka zunguka zote za 4g hatimaye voda ndo wameweza game hili speed ya uhakika.
package za 4G vodacom hizi hapa:

Buy any bundle for Tsh 500 and above, and get bonus data from us for FREE. This data will be valid for 12 months and will accumulate every time you top up.

To start enjoying FREE bonus data from us, dial *149*01# and select Internet

Bundle
Price
Bonus (Valid for 1 year)

Daily
150 MB Tsh 500 bonus20 MB
500 MB Tsh 1,000 bonus50 MB
1.0 GB Tsh 1,500 bonus 100 MB
2.5 GB Tsh 2,500 bonus150 MB
Weekly
200 MB Tsh 1,000 bonus 50 MB
500 MB Tsh 2,000 bonus100 MB
1.2 GB Tsh 4,000 bonus 200 MB
3.2 GB Tsh 8,000 bonus 400 MB
10 GB Tsh 10,000 bonus 600 MB
Monthly
2 GB Tsh 15,000 bonus300 MB
5 GB Tsh 25,000 600 MB
15 GB Tsh 35,000 bonus 800 MB
40 GB Tsh 40,000 bonus1024 MB
 
Speed na ping nzur sana sema hizo vifurush vitakata fasta..
 
utamu ulioje natamani kuja dar natumai pia watatoa modem zao za 4G kutoa huu uchafu unaoitwa Tigo 4G.
 
Mn nashangaa wanaoponda tigo 4G maana mm naitumia inakasi kubwa sana kwa mfano chuoni posta kule DIT ukipima speed ya tigo na voda zote zikiwa ni 4G tigo yupo around 55-65mbps while voda inacheza from 20-36mbps
 
umejaribu kutoka nje ya dar? huko ni mjini bana
 
Mn nashangaa wanaoponda tigo 4G maana mm naitumia inakasi kubwa sana kwa mfano chuoni posta kule DIT ukipima speed ya tigo na voda zote zikiwa ni 4G tigo yupo around 55-65mbps while voda inacheza from 20-36mbps

Sio kweli mkuu
Tigo haifiki 16mbps
 
Mn nashangaa wanaoponda tigo 4G maana mm naitumia inakasi kubwa sana kwa mfano chuoni posta kule DIT ukipima speed ya tigo na voda zote zikiwa ni 4G tigo yupo around 55-65mbps while voda inacheza from 20-36mbps
hapo apo DIT bro tigo inapoteza net sometime 4G haifikii ata 20mbps bro acha poteza umma
 
Mn nashangaa wanaoponda tigo 4G maana mm naitumia inakasi kubwa sana kwa mfano chuoni posta kule DIT ukipima speed ya tigo na voda zote zikiwa ni 4G tigo yupo around 55-65mbps while voda inacheza from 20-36mbps
naomba utupimie speed ya tigo ulete hapa
 
Nadhani Kampuni za simu waache uhuni wa kibiashara na hili TCRA iwafikie ! Tunalipa kabla ya matumizi sasa hii tabia ya Bundle ku expire hata kama hujatumia siipendi na ni haramu!.
Waweke bundle kwa viwango tofauti tofauti waachane na ulanguzi huu wakutuwekea limit ya masaa ,wiki na mwezi!

cc Vodacom Tanzania
 
jinsi network inavyokuwa dhaifu tigo ndio jinsi speed yako inavyokuwa ndogo ngoja baadae kidogo nitaeka screenshot
Mkuu nisaidie, hizi line za Voda 4G ili uweze kutumia lazima simu yako iwe na uwezo wa 4G??
 
Mkuu nisaidie, hizi line za Voda 4G ili uweze kutumia lazima simu yako iwe na uwezo wa 4G??
line ya 4g hata simu ya kawaida unaweza tumia hata iwe nokia ya tochi.

ila utofauti ni kwamba hutapata 4g kama simu yako haisuport 4g utapata tu 3g na 2g
 
Back
Top Bottom