How comes is it possible

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,322
Habari,

Is it possible kua mm nlieko jiji la Dar namtumia sms mtu wa mbeya lakin kule hapokei SMS yoyote zaid ya Text 20 lakini za watu wengine anazipata na zinapokelewa meaning zinakua delivered na ukipiga simu hakuna tatizo inaingia anapokea is it possible ni mtandao wataalam wa mitandao hii mnasemaje.
 
Habar ....is it possible kua mm nlieko jiji la dar namtumia sms mtu wa mbeya lakin kule hapokei sms yoyote zaid ya text 20 ...lakini za watu wengine anazipata na zinapokelewa meaning zinakua delivered na ukipiga simu hakuna tatizo inaingia anapokea..is it possible ni mtandao...wataalam wa mitandao hii mnasemaje.
Huo ni mtandao mpya?
 
Haujaeleweka mkuu., jarbu kuexplain vizur ueleweke.
Mkuu nipo dar..naemtumia msg yuko mbeya. Since jana asubuhi hadi saiv tunavozungumza hakuna sms iliyoingia kwake kutoka kwang yaan mimi nmetuma msgs kama 15 kwa idadi hadi saiv haijawa delivered hata 1 kwake ..ila msgs za wengine anazipata. Ndo nauliza ni mtandao kweli..kua vodacom mbeya network mbaya kias hicho
 
Mimi nimeelewa tatizo lako. Inawezekana kabisa mtu kupokea msg za wengine lakini za kwako haziingii. Kwenye message kuna settings za text limit. Mfano uki limit msg ziwe 30 kwa kila conversation zikifika 30 hazitaingia zingine labda kwenye settings uwe umeruhusu msg ya zamani kufutwa kila inapoingia msg ya 31 nyingine inafutwa ili kutoa nafasi. Kama hujaruhusu kufutwa msg za zamani ikifika kikomo yaani 30 haitaingia nyingine. Kwa hiyo kwa wale unaowasiliana nao ambao msg hazijfika 30 labda ni 12 zitaendelea kuingia hadi zitakapofika 30 wakati ambao zimefika 30 ya 31 itagoma.
Kwa hiyo huyo ndugu yako aangalie kwenye message settings kama ameruhusu kufutwa msg za zamani pale zinapofikia limit.
 
Asante mkuu nimekupata
 
Mkuu umesahau kuwa kwa case kama hiyo, huwa kuna notification kwamba kuna incoming msg na chamber iko full, hivyo adelete old msgs.
Mimi nafikiri ni matatizo tu ya mtandao, huwa yanatokea, lakini sijui kwanini
 
Yawzeka

Yawezekana mkuu.
 
Back
Top Bottom