....wakati nikijiandaa kuwasha mishumaa kusubiria mwaka 2012, hebu tutafakari na kujadiliana hili. Wazee wetu walidumu kwenye viapo vya ndoa zao kwa kuzingatia misingi ya mila na tamaduni zao...
Bofya hapa kupata taswiras zaidi: too much eye makeuptoo much makeup girlway too much makeup
Make-up women love but men hate
Neon lips, blue eyeshadow, shimmering glitter, and golden bronzers...
Hamjambo wapenzi?jamani mkesha wa mwaka mpya bongo ulikuwa na mambo mengi hebu sikieni hii Mjeda kaenda kusalimia kimada chake maeneo ya vingunguti kama kawaida ya wanaume mabazazi kumbe...
wapendwa
heri ya mwaka mpya 2012!
napanga kufanya safari moja muhimu sana nyumbani Tanzania katika kipindi cha wiki moja ijayo. wakati nikitafakari yote yatokanayo na safari hiyo, ndipo...
Maadili yetu yanaelekea wapi? Tuna pata wapi huu ujasiri? Leo hii ni aibu binti kuwa na Bikira hivyo inabaki kuwa siri yake Na ikiwa binti akiwa Bikira basi...
Nilikuwa nimetoka shule ya sekondari ya Pugu, ambako nilienda kumwona ndugu yangu anayesoma pale. Nakumbuka ilikuwa ni Jumapili mwaka 1999. Nilipanda basi kurudi mjini baada ya mazungumzo na huyo...
Halooo, habari zenu wanajamii wote, wakaka na wadada. Karibuni mchangia maada hii kwa hoja za msingi. Maranyingi katika jamii huwa tunaona kuwa katika ndoa, baada ya kujifungua mtoto au watoto...
Hi to you all members,i am 29 years old and my girlfriend has 25 yrs old,all of us we never had sex;shortly we are still virgin I can say and in our relation we have almost 6 years.We expect to...
Nikijana mwenye umri wa miaka 24 nimfanyabiashara soko kuu la mwanza town,natafuta mchumba ambaya maskani yao awe ni wa mwanza ili nisihangaike kuonana nae na awe na umri miaka 2o-21 awe mweupe na...
Habar zenu!
Nawatakieni heri za mwaka mpya wa '' 2 or Twelve''
Mwanangu wa kiume amekuja niuliza hili swali...nimeshindwa kumjibu...maana watoto wa hizi zama wanajua mitego sana.
Nisaidieni...
Jamani mwenzenu ninafanya kazi kwenye ofisi moja hapa DSM. Kwa Bahati nzuri au mbaya, niko ofisi moja na my wife, lakini kwenye idara tofauti.
Nimezoeana na wadada kadhaa wa hapa ofisini husasan...
Muda mfupi ujao tunakwenda kuimaliza siku yetu ya Kwanza ya Mwaka 2012. Lakini tukiangalia nyuma kwenye mahusiano yetu kuna mambo ambayo tumewafanyia wapenzi wetu ambayo ni ya kukumbukwa kwa mwaka...
kuna rafiki yangu ameniomba ushauri juu ya hiki kisa cha ukweli : yeye umeowa miaka mitano iliyopita na wamejariwa kupata mtoto mmoja mwaka jana alienda kikazi manyara kama mwaka mmoja hivi kwa...
Happy new year to you all...thanx 4 oll your sopport,I'm looking foward to 2012 hope you are! I also want to wish all the armed forces man,women and their families a Happy new year keep safe...
Wana MMU, Heri ya Mwaka Mpya 2012!
Nimepata msukumo wa ndani ya Moyo wangu kuwaandikia waraka huu, kwa upendo mwingi sana, ninyi ndugu na rafiki zangu wakubwa wa MMU nikiwashukuru kwa ushauri na...
Jamani wana jamvi kuna hili limetokea ,bibi harusi amefumaniwa gest ndani ya room tena akiwa amevua shela{gauni la harusi} baada ya kutoroka saloon akiwa anarembwa kwa ajili ya harusi na kwenda...
nina mpenzi wangu nampenda sana na naamini naye anipenda sana ila siku za hivi karibuni ameanza kuwa na tabia ya kuchat sana na mwanaume mmoja nikimuuliza anadai ni rafiki lakini mimi nakuta...
Si mara moja ama mbili ni mara kadhaa hapa mkekani, nimekutana na thread kibao membars wanajiumbua kwa kutoa SIRI ZAO NYETI NA CHAFU! . Utamsikia membar anasema ; mf.
> Nilitembea na na mtu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.