Nahitaji mwenza

Nahitaji mwenza

Point WENGI wanashoboka eti mtaani kwake mara domo la naseeb .

Popote MTU ANAPATA chake mwacheni atafute humuhumu watoto wamo
Acha kabisa kaka, nashangaa sana watu kubeza ilhali kila mtu ana njia yake ya kupata mwenza.
Iwe kazini, nyumbani, mtaani, kanisani, masikitini, mtandaoni kama mimi yaani popote.

Ila aloo napokea kashfa za aina mbalimbali.
 
Hakika Mkuu Kinachotakiwa afanye uchunguzi kwa kina na kwa hekima akishajiridhisha aende nyumbani kwa wazazi /walezi wa huyo mwanamke akajitambulishe kwa heshima

Hakuna mwanamke asiyetaka kuolewa lakini inatakiwa huyu jamaa awe na commitment kama amemuona huko mtaani kwake achukuwe hayo maamuzi, aachane na hawa wa mtandaoni wengi wana changamoto nyingi sana. Hasa wanaojifanya washiriki sana wa mada na waandishi sana.
Kumbe humu wanawake tunachangamoto na hamjawah sema 🤔
 
Mkuu nimepost, wewe ndo umekuja kureply, napokea ushauri wako but still unaniandama.

Shida nini?

Unataka kuolewa na una mtoto??
siwezi kuolewa mara mbili lakini pia siwezi kuolewa na broke guy hilo hata mabibi na mababu zangu watafufuka na kunitandika bakora,

Endelea tu kuchakura utampata wa kufanana nawe
 
Kaka pamoja na hicho kitengo kuna ndgu zako wanauliza kama kuna nafasi huku.

Hakika kimfaacho mtu chake mkuu
Nimependa jinsi ulivyorelax katika kujibu comment yangu yenye mlengo wa kukera, inaonyesha una uhimilivu wa kuishi na watu wenye tabia tofauti tofauti, nakutakia kila la kheri mwenyezi mungu akutimizie hitaji lako.
 
siwezi kuolewa mara mbili lakini pia siwezi kuolewa na broke guy hilo hata mabibi na mababu zangu watafufuka na kunitandika bakora,

Endelea tu kuchakura utampata wa kufanana nawe
Kuna kitu hakipo sawa kwako.

Asante kwa kushiriki, nimepokea maoni yako.
 
Back
Top Bottom