Baada ya kuolewa jamaniii!!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu hivi ni halali baada ya kuolewa ukachukuwa kila kitu ulichokuwa nacho nymbani kwenu na kilichokuwa mali yako na kukipeleka kwa makazi yako mapyaTofauti na zile zawadi ulizopewa kwenye Kitchen Party na sendoff?
 
Wakuu hivi ni halali baada ya kuolewa ukachukuwa kila kitu ulichokuwa nacho nymbani kwenu na kilichokuwa mali yako na kukipeleka kwa mumeo tofauti na zile zawadi ulizopewa kwenye Kitchen Party na sendoff?

Hilo ni tatizo kuona kuolewa unaenda kwa mumeo. Ukiolewa unaenda kwenu(kwako na mumeo). Sasa usipo enda na hivyo vitu vibaki wapi na vifanye nini huko? Si bora vitumike kwenye nyumba yenu mpya? Kama ni vyombo vita tumika mle kama ni nguo zako za zamani utavaa umpendezee mumeo.
 
Hata usingeolewa manake ungeishi peke yako vitu vyako bado ni vyako. Ukiolewa unaunganisha vyako na mwenzio mnakua na vyenu. Pale sasa panakua kwenu sio kwa mumeo,ulikotoka ndio kwa wazazi/walezi. Otherwise maana ya ndoa itakua ni kumwona mume kama third party katika maisha yako wakati yeye ni sehem yako. Mpe kila kitu kama yeye anavyotoa kila kitu kwako. Peaneni hapo nyumbani kwenu wawili nyie!
 
Wakuu hivi ni halali baada ya kuolewa ukachukuwa kila kitu ulichokuwa nacho nymbani kwenu na kilichokuwa mali yako na kukipeleka kwa mumeo tofauti na zile zawadi ulizopewa kwenye Kitchen Party na sendoff?

Kama kitu nichako kwanini usichukue?

Kwa habari ya nguo, hiyo haisemeki kabisa, maana obviously ni zako, huwezi ukawaachia wazazi!

Kwa mambo ya vyombo, ina maana kama unavyo vyombo vyako binafsi, basi inaonyesha ulishaanza kujiandaa na maisha ya mbele, kwahiyo huna sababu ya kuacha kitu.

Wanawake wengi sana huko uswahilini wanaadhirika sana kwasababu wanaenda kwa mabwana bila hata ya kijiko. matokeo wakikorofishana, anachukua mifuko ya rambo kwajili ya nguo tu!
 
inategemea, mie nilienda me na nguo zangu, mambo mengine niliwaachia wazee wangu, tukaenda kuanza upya.
 
wengine tuliacha mana tulikuwa tunaishi na wazee wetu so ckuweza kusema nachukua hiki na kile na kuwaacha hivyo, na hao wanaofukuzwa na waume zao wanaondoka na malboro zao ina maana walivyofika kwa waume zao hawakushiriki kununua chochote?
 
kanini kuwe na kuachana , ndoa ni kulindana hadi mwisho , tumia vyako na vya mwenzio, ukihesabiana hivi ni vya nani , utakuta hata kujenga ni kwa siri , na mambo yote ya maendeleo ni siri , aminianeni nenda na vyako msianze moja tena,
 
[marriage is for soldiers!!!!!!!!!!]
 
Kama uko independent mbali na utawala wa wazazi kuondoka na vitu vyako kwenda kwa mumeo ni sawa kabisa hamna ubaya wowote. Ila kama unaishi nyumba ya wazazi wako unaweza kuondoka na vile vitu vyako muhimu kama nguo, simu, radio n.k pia kama wazazi wako vizuri wakikuruhusu kuondoka na hata fenicha ubaya uko wapi si vitu vyako?
 
kanini kuwe na kuachana , ndoa ni kulindana hadi mwisho , tumia vyako na vya mwenzio, ukihesabiana hivi ni vya nani , utakuta hata kujenga ni kwa siri , na mambo yote ya maendeleo ni siri , aminianeni nenda na vyako msianze moja tena,

wengine wanalazimisha kupewa department B wakati wenzao hawataki...ndio chanzo mojawapo cha kukimbia ndoa mkuu
 
Hata usingeolewa manake ungeishi peke yako vitu vyako bado ni vyako. Ukiolewa unaunganisha vyako na mwenzio mnakua na vyenu. Pale sasa panakua kwenu sio kwa mumeo,ulikotoka ndio kwa wazazi/walezi. Otherwise maana ya ndoa itakua ni kumwona mume kama third party katika maisha yako wakati yeye ni sehem yako. Mpe kila kitu kama yeye anavyotoa kila kitu kwako. Peaneni hapo nyumbani kwenu wawili nyie!
yeye ni sehemu yako-kwanini haendi na wewe kwenye nyumba ndogo?
mpe kila kitu kama na yeye anavyotoa kila kitu kwako--fafanua ndugu yangu au utashambuliwa humu ndani kuna wanawake ambao wanaume zao kitu pekee wanachowapa ni dudu, vingine hakuna, utasikia tu, na wewe si unapokea mshahara
 
Kama kitu nichako kwanini usichukue?

kAKA Jimmy wengine masikini jamani kwahiyo dada akiolewa wadogo zake wanasubiri siku anaondoka awaachie nguo, vyombo vya ndani n.k sio sawa na wale mambo safi ambao wakiolewa wanaongezewa na vitu vingine vikawasaidie yeye na mkewe
 
yeye ni sehemu yako-kwanini haendi na wewe kwenye nyumba ndogo?
mpe kila kitu kama na yeye anavyotoa kila kitu kwako--fafanua ndugu yangu au utashambuliwa humu ndani kuna wanawake ambao wanaume zao kitu pekee wanachowapa ni dudu, vingine hakuna, utasikia tu, na wewe si unapokea mshahara

Sipo....mmmm hebu afafanue hiyo kupewa kila kitu ina limits bwana!
 
Shishi
Nimeshamwambia dada yangu ila naona mwenyewe aliandika tu, ila husikae mbali Fidel80 atamsaidia kujibu muda si mrefu
 
wengine wanalazimisha kupewa department B wakati wenzao hawataki...ndio chanzo mojawapo cha kukimbia ndoa mkuu

hehehehe department B ukionana na mtu ambaye anaipatia utajuuuuta kwanini ulikuwa huitumiii ngoja nikamate Konyagi kwanza nina kiu mbaya Safari zimeadimika kijiweni.
 
inategemea, mie nilienda me na nguo zangu, mambo mengine niliwaachia wazee wangu, tukaenda kuanza upya.

Na nitakapo kupa talaka utabeba rambo yako hiyo hiyo uliyo kuja nayo. Huna chako kwangu utaondoka na nguo zako.
 
hehehehe department B ukionana na mtu ambaye anaipatia utajuuuuta kwanini ulikuwa huitumiii ngoja nikamate Konyagi kwanza nina kiu mbaya Safari zimeadimika kijiweni.

Kaka ukipata hii masaa mawili kabla ya mtanange ni noma ni over viagra
 
Back
Top Bottom