Wanaume kujikunakuna hadharani!

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,242
39
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?
 
Ampeleke ospitali inawezekana kabisa ana ukurutu ,hizo ni dalili za ukurutu ,mi nakumbuka nilikuwa natumia kupekecha (7yrs),basi inakuwa najibanza na kuanza kupekesha ,ni aina flani flani ya muwasho sasa ukipekecha kunakuwa na unafuu waharaka haraka kwa kiasi fulani unaosababishwa na ujotojoto wa mpekecho,sijui kwa upande wa wanawake kama wanakuwa na muwasho wa aina hii ? Unajua mambo mingine yanakuwa siri ,ila huyo wa miaka miwili mbona bado ni mduchu sana ,halafu wacha kutuburuza mtoto wa miaka miwili hata kusimama huwa bado hajaweza vizuri.
 
Ni utoto achape hiyo mikono, basi at the age of two years haiwezi kuwa tabia.
Please asimchape! Akimchapa inaweza kumdhuru kisaikolojia. Kitu cha maana ni kumchunguza na kuona kama ana tatizo kwenye ninihii yake au ampeleke kwa daktari. Vinginevyo, ni tatizo la muda tu litaisha
 
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?

Mkuu hilo tatizo linatokana na kuwepo kwa uchafu ndani ya hilo Govi,pia siwezi kuelewa jinsi baadhi ya wanawake wanavyoweza kuhimili hali hiyo, hata kama shaft itapigwa polish mara tu ikirejeshwa mafichoni.kazi ya kuzalisha Cottage cheese inaanza na uwasho ndio unajichomoza.
 
Medical problem!

Mpelekeni hospital akachunguzwe..

Japo kuna wanaume wanapenda kushikashika tu hizo sehem, sijui wanapata maconfidence flan wakati wa kufanya hivyo...lakini kwa mtoto huyo, anateseka na mwasho..rush him!
 
Wewe Shishi hiyo ni Involuntary bana sasa mzigo umewasha dogo asijikune? Unataka uulize hata akiamuka asubuhi imesimama kwanini inasimama hiyo ni involuntary Shishi.
 
Medical problem!

Mpelekeni hospital akachunguzwe..

Japo kuna wanaume wanapenda kushikashika tu hizo sehem, sijui wanapata maconfidence flan wakati wa kufanya hivyo...lakini kwa mtoto huyo, anateseka na mwasho..rush him!
Eee, kwa mtu mzima huo mtambo ni sign of pride, manhood, self-assertion and confidence. Lakini kwa mtoto lazima kuna shida. Aonwe dokta.
 
hehehehehehe

ila dalili ya kukunakuna jidude hadharani ni dalili ya uchafu kwa mtu mzima (inaitwa KUKOBOA) na kaugonjwa kenyewe kanaitwa GOGOGO yaani unakoboa mpaka unga unatoka babake. ila kwa mtoto kama hajaiga kwa baba yake basi ngoma imepelea hivyo ukimuwahi dokta anaweza kugundua tatizo na kumpa tiba murua.
 
Hakikisha kama ni mwanao nguo za ndani mnazo mvalisha sio mbichi,au zenye unyevu unyevu....Hakijikolei...dada anaye muosha ni msafi wa kutosha asije kuwa anatoka kwenye mambo yake anakuja osha toto anaweza leta maambuzii kwa kuwa watoto ngozi yao ikuwa sensitive..na huyo mama mtoto awe ni msafi wa kutosha.

Kwanza jichunguzeni nyie msije kuwa mmemwambukiza mnalalamika kuwa mnamshangaa na ku generize mambo hapa...

Regards
 
jaribu kumuangalia kama yuko powa kila kitu na zingatieni usafi mda wakumbadirisha nguo zake na kila kitu .kama hali ya usafi imezingatiwa na bado anaendelea hivyo ni vizuri kwenda kumuona daktari hili kupata huakika zaidi wa tatizo lake.kuhusu swala la kujikuna kuna sehemu za siri kuwa la kawaida si la kweli.kama unazingatia usafi hili swala halitokuwepo kwa watu wazima.
 
At two it is quite possible the boy (really a toddler, hardly "mwanaume") is just exploring the hills and valleys of his body. I mean the boy is two for gods sake.

Or has he been watching some MJ crotch grabbing videos?
 
Last edited:
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?

Sasa huyo ndiyo mwanaume? we vipi Bana, Mbona unatuchanganyia habari hapa.....
 
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?

Ha ha ha ha ha Shishi umenichekesha sana ha ha ha ha hizi tunaziita gogogo zinasababishwa hasa na joto la Dar na inabidi uwe msafi sana ili joto la Dar lisikuletee hizo gogogo na hali hii hata wanawake pia hupatwa na hizi gogogo, sasa na joto la Dar halafu maji hakuna wiki tatu au hata zaidi basi huwa kivumbi na jasho ha ha ha ha
 
Mkuu!! GOGOGO ndio nini? sisi wengine kinatupiga chenga kiswahili kipya.
 
Mkuu!! GOGOGO ndio nini? sisi wengine kinatupiga chenga kiswahili kipya.

Sidhani kama hichi ni kiswahili. Unajua tena mambo ya vijiweni. Hii topic watu walianza kuizungumzia basi jamaa mmoja akasrma hozi zinaitwa gogogo basi nami nikashika hilo jina lakini sidhani kama ni kiswahili. Ni kama mambo ya ma waifu wake ha ha ha ha
 
Ha ha ha ha ha Shishi umenichekesha sana ha ha ha ha hizi tunaziita gogogo zinasababishwa hasa na joto la Dar na inabidi uwe msafi sana ili joto la Dar lisikuletee hizo gogogo na hali hii hata wanawake pia hupatwa na hizi gogogo, sasa na joto la Dar halafu maji hakuna wiki tatu au hata zaidi basi huwa kivumbi na jasho ha ha ha ha

Jirani!
Hii ni kali......ila umezungumza kitu cha maana sana...USAFI
Mara nyingi utaona wanaume tena kwenye kadamnasi wakijikuna bila hata kuona aibu.Sijui kama Wanawake nao hujikuna MBELE ZA WATU.

Kama alivyosema BAK...mwasho husababishwa na uchafu au pia maambukizi hasa Fungus.Watu wajitahidi kuwa wasafi na hata maji wanayotumia kwa usafi yawe masafi yaliyochemshwa ikiwezekana.
Kujikuna mbele za watu siyo ustaarabu.
 
kwa mawazo yangu huyo mtoto miaka miwili kuna kaugonjwa kanaitwa u.t.i kamcheki kanasumbua sana watoto ,lakini ukiona baba zima na midevu kama ossama linajikuna huko tena,hiyo ni dhahama lazima ujue limezoea kuchimba vyoo vya kiume,twambie au ni shemeji kaanza kamtindo hako mama?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom