Mapenzi gani haya baada ya kuolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi gani haya baada ya kuolewa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Grader, Jul 30, 2009.

 1. Grader

  Grader JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna jamaa yangu mmoja ananiomba ushauri,nikaona bora nami nipate ushauri wenu ili tumsaidie;
  Huyu jamaa ameoa yapata 2yrs now lakini huyu jamaa na mke wote wanafanya kazi posta-Dsm wanakaa Kitunda. Kwa sababu usafiri ni shida inawalazimu kuamka alfajiri saa 10 na mke huwa wa mwisho kurudi nyumbani baada ya kazi saa 4 usiku.
  Huyu mwanaume akiulizia unyumba yule mwanamke anampangia ratiba wakutane jumapili na sharti ni mara moja tu wastani ni mara 52 a year.
  Sasa kwa sababu yule jamaa ni rijali hatosheki, tutamsaidiaje kimawazo?
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwambie amfanyie kitu kimoja mkewe jamaa akae kama miezi miwili hivi bila kuomba huo unyumba halafu mke wake akimuuliza mbona siku hizi huhitaji tendo la ndoa jamaa amjibu kwa kifupi tu, sijisikii hapo lazima wife atafura sasa akifura jamaa ndio amuweke chini amueleze A to Z kuwa yeye hatosheki na hiyo onja onja kana kwamba hajaoa, na jamaa hapo ndio apendekeze kabisa kuwa mimi nataka kila siku na ikiwezekana na asubuhi kabla hatujahamka hiyo saa kumi tushtue kimoja kujiweka fresh na mikimiki ya kukamata daldala kama wanatumia usafiri huo au kukamata usukani kama wana gari zao binafsi.
  Simple like that jamaa anakuwa anafaidi matunda ya ndoa
  Au nimekosea wajameni?
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  hehehe kwani wanaishi pamoja?
   
 4. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  we Sipo wajenga ama wabomoa..huo ndio utakuwa the beginning of the end...kama mama amechoka baada ya kuamka tangia 10 asubuhi mpaka 10usiku, that woman is physically, emotionally and psychologically tired. they need to talk waelewane. sio vizuri pia kumpimia kama dawa...lakini pia hiyo ya kila siku duhhhhh...hivi kwani ni distance kiasi gani kutoka huko posta to where they live??
   
 5. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naamini walau mara tatu kwa juma ni reasonable kwa wanandoa.Jamaa amweleze mamaa kutokuridhishwa kwake na ratiba ya unyumba.Hopefully wapo home jumamosi na jumapili kama ndivyo isiwe tabu kujinafasi.Katikati ya wiki japo kamoja tu hata hotelini ikibidi ile jioni then haoo wote waelekee home.

  Honestly uchovu wa kazi na mikikimikiki ya usafiri wa Dar(hasa kwa sie tusio unafiri binafsi) unakata stimu ya malovee kinoma wakuu.Nimeoa,ni ngumu kufanya kila siku.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...atafute nyumba maeneo ya karibu, kama hilo haliwezekani ajitahidi kukopa japo usafiri kumsaidia mamaa...

  Iwapo hata hilo haliwezekani, basi mume awe mstahmilivu, jumapili sio mbali bana, kuna watu wanaishi miji tofauti wanavumiliana...
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  sio siri huyo mama anachoka kwa kweli, maana kuamka alfajiri hivyo na usiku ndio anarudi home. Mumewe inabidi amuelewe mwenzio, kweli wakubaliane angalau wakutane kimwili weekend basi jmosi na jpili .Nadhani wafanyakazi wa posta huwa hawafanyi kazi siku hizo za weekend.
   
 8. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  na waandike MOU kabisa:rolleyes:..... actually they will have something to look forward to kila wiki!:D
  naona kutakuwa hakuna kazi nyingine wikiendi basi......mmmmmmm dont i envy them
   
Loading...