If he's not getting it at home, he's surely getting it somewhere else??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

If he's not getting it at home, he's surely getting it somewhere else???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shishi, Jul 31, 2009.

 1. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  My friends and I were having a gal talk abt men and sex. They are married wajua napata shule sio kutoka JF tu LOL;). sasa mmoja wao the hubby had been working in Sudan so they wd meet every 1 or 2 months...and of course alikuwa hata amenunua chachandu for those days.. sasa bwana amerudi kenya... anataka kila siku, mazoea yale ya zamani yameisha. sasa she is starting to feel like its a chore that u have to do, whether u like it or not... just because kama hapati kwako basi atapata kwengine...lazima iwe ni kila siku??? sasa imekuwa ni ule mtindo wa 'ukimaliza funika' just to please him. si huu ndio mwanzo wa matata!!!
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  highlighted--unamaanisha nini hapo Shishi? Mimi sijaelewa
   
 3. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwambie kama awezi kushika mpini kila siku asubiri jamaa aende Mombasa street kama hatarudi tena na akirudi atakuwa ameshaharibika manake atakuwa anataka na ile idara ya upenuni tiGO. Manake nasikia huko hawana nidhamu kabisa unapewa samaki unaambiwa charge ni moja tu, sio kama hapa bongo nasikia malipo ya idara hizi mbili ni tofauti kabisa
   
 4. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Ahhhhhhhhhhhhh we nawe Sipo kweli haupo, hufahamu hiyo phrase? muulize Fidel atakuwa lazima anifahamu!
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  .....mmmnnh, 'ukimaliza funika', :confused::confused::confused: ...kubirua, kupindua, kugeuza,:rolleyes:
   
 6. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hayo yote ukimaliza funika!!!!! ahahahahhahahha
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sipo!... maanayake ww endelea mwenyewe ukimaliza utaniambia mie nimechoka sishughuliki....hahahahahhahaa..
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ikifikia hapo ni tatizo tena, hapana tutafanya pale ninapojickia/anapojickia/tukiwa wote kwenye mudi, kama ni kupata kwa mwingine akumbuke condom tu, mana starehe kwangu icgeuke mateso/adhabu, na hii kitu ukifanyiwa kwa kulazimisha bwana haina ladha hata kidunchu, utaambulia vimichubuko tu.
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  hahahah dogo kumbe bado mdogo kabisa, hapo anamanisha ila hali kwamba anampa mtanange kama wajibu lakini yeye hayupo pale na yeye, so inakuwa kama kummwambia shughulika ukimaliza 'funika chakula' hicho..hakuna hamu ya kuendelea kwa upande wa mke wala ile kuonyesha manjonjo kama ilivokuwa mwanzo.....ni sawa na kwenda jikoni ukakuta chakula kwenye sahani ukala kiasi chako, kisha ukafunika kwa 'matumizi ya baadaye'....upo hapo?
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Nikirudi kwenya mada, mi nadhani hapo ni sualala kuadjust tu jamani, haoni kama mumewe alimiss kwa muda mrefu,, sasa kinachomshinda ni nini hata kama anataka kila siku (ambayo haiwezekani kwa mwanamke manake nadhani kuna mambo ya MP Nk)

  mi nilidhani amngefurahi kuwa sasa wanafaidi matunda ya uhuru kumbe anataka waendelee as if yuko sudan tena? Tatizo ni nini?
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:eek: mungu wangu!!!

  ...hata mimi niliachwa 'solemba' hapo, duuuh! mungu aniepushie wa aina hiyo!
   
 12. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  na kimbelembele chote hicho, kumbe huna copy! mm inakuwa kama wajib tu...yaani faidi ukitosheka funika nataka kulala mwenzako!
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ..."Sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika." ... :)
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kaizer umenifurahisha hapo.......wafaidi matunda ya uhuru. Exactly!!

  inamaana jamaa alikuwa anafanyaje huko sudani? coz hakuna kitu kama kulipizia kwa sababu ulikosa siku nyingi. a week tu na sio kila siku unarudi normal. na kabla ya kwenda sudani alikuwa mara moja kwa mwezi? au kila siku. Hii sasa kali!! he will surely get it somewhere else!!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Ashakum si matusi. Sipo, unafunuliwa ufanye na mama anakwambia ukisharidhika na vile ulivyofunuliwa basi uvifunike. Huu msemo unatumika sana pale ambapo participation ya mama inakuwa ni ZERO kabisa kutokana na sababu moja au nyingine.
   
 16. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  sio matusi kabisa...normal stuff

  unafunuliwa.... mmmm hiyo kali
   
 17. M

  Makanyagio Senior Member

  #17
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35


  Kila siku ataweaza mimi nilimwachiaga wangu akachemsha baaada ya wiki kama 3 hivi. Ila mziki wake ulikiwa heavy. Huyo wako labda anatumia dawa za kuongeza nguvu, nijuavyo mimi wanaume huchoka sana kuliko sisi.
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Naam Shishi au vinginevyo...utaona message "Access denied" na ukitaka kuchukua kwa nguvu utaambiwa umemrape hapo biff linakuwa kubwa zaidi.
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Correct kabisa katika hali ya kawaida,, lakini kama ni mwanaume anayeijua shughuli yake basi hata mwanamke atachoka pia, lakini sio kuchoka kivile,, actually mtakuwa mnatamani kila wakati mkipata 'nguvu' muendelee

  kwa hili nimeshindw akuelewa mwana mama ana shida gani au mwanaume 'hamfikishi'?
   
 20. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sasa huyo jamaa akienda nje na kutafuta nyumba ndogo huyo rafiki yako atakasirika?
   
Loading...