ni wakati gani mawasiliano ni muhimu katika mahusiano/ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni wakati gani mawasiliano ni muhimu katika mahusiano/ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Aug 4, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,790
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Wakuu ni saidieni ni wakati gani mahusiano yanakuwa muhimu sana katika mahusiano?

  Je ni wakati wakutongoza/kutafutana?

  Je ni wakati mumeshakuwa wapenzi tayari?

  Je ni wakati mumeshakuwa wanandoa ?

  Je ni baada ya kubarikiwa kupata mtoto au watoto?
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kwa upande wangu hivyo vipengele vyote ni vya muhimu.
   
Loading...