Wana MMU hii sio tamthilia ya kusadikika bali ni hali halisi iliyopo mtaani kwangu ambayo nadhani si sahihi na tuendako hili laweza kuwa janga kubwa.
Mimi naishi uswahilini na mtaani kwangu kuna...
Hivi umeshawahi kuona ndoa ambapo zinafumuka ngumi kati ya ndugu wa mke na wale wa mume, humohumo kwenye nyumba ya wanandoa? Kama hujawahi, una bahati mbaya tu, kwani ni nyingi za kutosha ndoa za...
Ndugu zangu wapendwa wa Jamii Forums naomba ushauri wa mawazo kwani naumia sana. Nina mpenzi ambaye nimekaa nae kwa muda mrefu sasa toka tukiwa chuo mpaka sasa ni wafanyakazi. Mwanzo sikuwa na...
Jana (02/01/2012), nikiwa kazini, nilikuwa nayapitia magazeti na kwa bahati nzuri au mbaya nikakutana na kisa hiki kilichoandikwa na gazeti moja la Kiswahili litokalo kila siku ....
Mwanamke...
Natafuta mchumba na baadae aje awe wife..mie ni mwanaume 31yrs ft 5.5 maji ya kunde.niko mwanza. elimu yake iwe ya kawaida tu..din yeyote..kabila pia sichagui coz hatuhtaj kutambika kwenye familia...
Wakuu salamuni.
Naombeni mwongozo wenu. Mke wangu amejifungua hvi karibuni, alijifungua salama na hali yake baada ya wiki moja na nusu alikuwa safi, na taratibu akaanza kunisogelea.
Kwa sasa ni...
Naomba Jf membars nitangulize excuse kwa ninalolisemea kwani huenda lilishaletwa hapa kitambo likajadiliwa wakati mimi sijawa membar Jf, mnivumilie kwa hilo. Muda huu naifanza hii thread niko...
Katika thread mbali mbali ambazo tumechambua mwaka huu wa 2011, binafsi nimefarijika na kufaidi michango ya wadau kuhusu taasis ya ndoa. Ndoa ni taasisi ni muhimu sana na kila mmoja wetu analo...
Tunapouanza mwaka mpya ni vizuri tukafungua ukurasa mpya wa kitabu kilekile cha mapenzi huku tukipekua nyuma na kuyarekebisha yaliyokuwa makosa, kuboresha zaidi palipoelekea kudhoofu na kutia...
Wadau mimi ntaona faraja kama nitapata mpenzi mpya wakuanza naye mwaka yani 01/01/12 nakuwa naye kwa mwenye nia kama mimi pls PM! Vigezo sihitaji kwani kitendo cha kuwa JF nitosha wewe ni mjanja!
Ilikuwa ni siku ya Ijumaa ya Julai 21, 1995, Nicholas Tucker, afisa wa cheo cha juu katika jeshi la anga la nchini Uingereza akiwa na mkewe aitwae Carol, alikuwa akiendesha gari lake aina ya Ford...
Mi siamini kama kutongoza ni jambo baya.
Nikiwa lecture room,dada mmoja mwenye mvuto alivaa na kupendeza alikaa karibu nami,kiukweli sikumsikiliza tena mwalimu.
Nikajikuta mwili...
Jamani, tumekuwa tukileteana zawadi za maua ya rangi mbalimbali mara kwa mara. Je tunajuwa maana ya hizi rangi mbali mbali? Nimeikuta doc hii sehemu nikaona nishare nanyi ...
Color Meaning of...
....wakati nikijiandaa kuwasha mishumaa kusubiria mwaka 2012, hebu tutafakari na kujadiliana hili. Wazee wetu walidumu kwenye viapo vya ndoa zao kwa kuzingatia misingi ya mila na tamaduni zao...
Bofya hapa kupata taswiras zaidi: too much eye makeuptoo much makeup girlway too much makeup
Make-up women love but men hate
Neon lips, blue eyeshadow, shimmering glitter, and golden bronzers...
Hamjambo wapenzi?jamani mkesha wa mwaka mpya bongo ulikuwa na mambo mengi hebu sikieni hii Mjeda kaenda kusalimia kimada chake maeneo ya vingunguti kama kawaida ya wanaume mabazazi kumbe...
wapendwa
heri ya mwaka mpya 2012!
napanga kufanya safari moja muhimu sana nyumbani Tanzania katika kipindi cha wiki moja ijayo. wakati nikitafakari yote yatokanayo na safari hiyo, ndipo...
Maadili yetu yanaelekea wapi? Tuna pata wapi huu ujasiri? Leo hii ni aibu binti kuwa na Bikira hivyo inabaki kuwa siri yake Na ikiwa binti akiwa Bikira basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.