Buzi;ATM; Saccos; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Buzi;ATM; Saccos;

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Jul 30, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Jamani naomba tusaidiane kueleimishana hivi kwa nini tumekuwa tukiwaita wapenzi wetu haya majina haya wakati wanapokuwa wanatoa hiyo mihela ni kwa ajili ya kuboresha mahusiano.

  Au ndo maana tunapofanya kosa wakiamua kupiga wanapiga nusu kuua?
  Au ndo maana huwa kuna kuwa na migogoro kila kukicha?
  Au ndo maana hata kuomba msamaha wakikosa huwa hawaombi kwa kujifanya ni kichwa cha nyumba na wao hawafanyi kosa?
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuna mdau mmoja humu ndani jina lake linaanza na F yeye alikuwa anaitwa na mpenziwe tembo card, jamaa akashtukia deal akala kona, sasa hivi huyo mwanamke anatuma mesage mpaka jamaa amebadili line ya simu.

  Actually inauma sana wewe unampenda mtu halafu akikaa na wenzake anakuita ATM ya crdb haigomi gomi, ikiingizwa tu inamwaga mihela
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ...... We na nani shost?

  Kupiga hakuhusiani na hayo, dada anaweza akawa anakupiga hata kama hakupi kitu.

  Kifupi ni kwamba hayo mambo uliyoorodhesha hapo hayahusiani kabisa na kuitwa majina hayo!.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  SIPO

  HUYO MTU ATAKUWA NI FIDEL180.

  Huyu rafiki yangu anahonga sana, na wanawake wanampenda kwaajili ya hela zake!

  Hapa Juzi kati si alisema kuna mwanamke anamnywa shs 70,000/ kwa wiki kwa ajili ya kuseti nywele?
  Anaumizwa sana huyu mwenzetu, sijui tumsaidieje!
   
 5. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Shost samahani hapo nimegeneralise vibay eti!!!! ila nilikuwa namaanisha majority.
   
 6. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #6
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli wanaume wa bongo tunakazi na wanawake wa aina hizi. Tutafika kweli?
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ..... Pole mama usije ukashambuliwa kama PakaJimmy na wanawake wachafu lol

  Haya turudi kwenye mada mpenzi
  Nilikuwa nakwambia kuwa kama mwanaume ni wa kupiga hata ukiwa unamwita mungu bado atakupiga tu yaani hii haihusiani na kuitwa Buzi -labda kama ulikuwa unamaanisha kukupiga pindi atakapogundua unamwita jina hilo.

  Wengine wananyenyekewa kama miungu lakini bado wanakuwa wakorofi.

  My take
  Mimi nafikiri mwanamke yeyote (au mwanaume kama wapo) anayediriki kumwita mpenziwe jina la aina hiyi huwa hana mapenzi ya dhati. Kitendo cha kumwita hivyo ni kwamba keshamvua ule ubinadamu wake na kumvalisha u-kitegauchumi yaani anakuwa sasa kama vile Bank account ambayo unaipenda pale unapokuwa na uhakika wa kupata pesa (kaka mimi account yangu naipenda unapofika mwisho wa mwezi na si vinginevyo) sasa imagine siku utakapoambiwa account hiyo haitakuwa na uwezo wa kukupatia pesa tena uone kama utaendelea kuikeep- ya kazi gani unaifunga tu. So the same applies kwa wote wenye tabia hii, no pesa, no penzi na siku pesa kwisha, penzi kwisha pia.
   
 8. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kumbe kijana anajifanya humu ndani mjanja kumbe hana lolote,kweli hii maneno haina mpole,mkali,jasiri wala shujaa.hata FIDEL wamemuwekea mirija,mpwa inabidi uje hapa utoe ufafanunuzi.
   
 9. GP

  GP JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa naona hayupo hapa, ngoja nimpigie aje bana ajibu hizi tuhuma coz zinamuhusu.
  hold on nimpigie.......
   
 10. GP

  GP JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wakati tunamsubiri mkuu,
  ni kwamba wengine tunajitahidi kuwapenda sana wapenzi wetu kwa kuwapa mahaitaji sometimes sio mpaka waombe, just umepita sehemu umeona kitu kinamfaa unamnunulia, au umemtoa kimtindo hata kama hajakuomba unajua tena wengine tunajua sana kujali teh teh heehhh
  sasa akienda kwenye vijiwe vya umbea anaanza kujifagilia na kukuponda kwamba wewe ATM!, jamani wanawake wengine sijui wabebejwe!., usipomhudumia anakwambia wewe mkono wa birika, aaarrrrrggggh.
   
 11. GP

  GP JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wakuu, muheshimiwa F kasema kwa sasa itakua ngumu kuja kusema chochote kwa kuwa yupo ANAJIEXPRESS kwenye ule mtandao mpana kama kawaida yake, so anaomba mvute subira.
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  Fidel....lol, alikiona cha moto, mrembo alijivunia na DECI....lol
   
 13. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sasa ambavyo haziwatoshi hawa watu,unakuta hata mume wake anampa majina hayo.Akiwa na wenzake unamsikia,ngoja ATM yangu ifike ,utaona.kweli unamwita mumeo ATM kweli.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  jamaa kwa warembo ana nyong'onyea kabisa.....lol, ujanja mfukoni...
   
 15. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35


  Duh!! Kijana ameumia kwa kweli.... Ajui kama wanawake ni mashetani wakubwa.
   
 16. A

  ALLY KILUNGUZO SALUM Member

  #16
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 28, 2007
  Messages: 50
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Wanawake tuwapende tu hivyo hivyo maana maneno yao kwa kweli ukiyasikia unapata kichefuchefu.wengine tunawasaidia mambo muhimu lakini matokeo yake sasa hapo!
   
 17. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Fidel nimekuona umeshafika kuna hoja yako inakusubiri na wadau wanasubiria mchango wako
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Yale yaleee!! kama ni demu anafanya kazi, kwa nini umpe hela? za nini? kama hafanyi kazi/hajishughulishi na chochote, kwa nini? na wewe ni mzembe kiasi gani kuwa na mwanamke asiyejishughulisha na shughuli yoyote ya maendeleo?

  Unfortunately siamini sana kwenye kuwa na hawara---mwanake au mwanamme ambaye hamana mpango wowote wa comitment kwa sababu umeshaoa/kuolewa. Kwenye hili nafikiri ndo kuna kuwa na U-ATM.

  Kama si girlfriend, hela za nini anahitaji kiasi cha kuitana ATM, coz lazima uwe unazitoa kila anapohitaji na nyingi - na inapofikia hapo, basi unakuwa kama unanunua tu!! haina tofauti, naye anauwa anauza. .......Yale yaleee!!
   
 19. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hapa kazi ipo.......!
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jamani hata nyie wanaume huwa mna majina yenu mbofu mbofu mnayopenda kutuita kuna kina tibaigana, njagu

  na wengine mkiwa mmekolezwa na small houses -jinga langu e.t.c
  Kwa ufafanuzi zaidi soma hapa

  https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/26599-ingekuwa-wewe.html
   
Loading...