usipojenga nyumba ndogo utajengewa wewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

usipojenga nyumba ndogo utajengewa wewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Semilong, Jul 28, 2009.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  katika kuonge na baadhi ya wanawake mbali mbali wengi wao wanapenda wanaume machachari, ukiwa mpole wanakuita boring, usipowa cheat hata kidogo wana kuona **** na mwishowe wana kucheat wewe...
  unakuta wanaume wengi watulivu wake zao wanawasumbua sana...
  pia unakuta wanawake wenye watu machachari hawafurukuti kwa nini???

  je wanawake kwa nini mnapenda machachari alafu baadae mnalalamika.....
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wanawake wanapenda wanaume wacheshi, tena wenye kipaji cha kuchekesha. Wanavutiwa nao sana.
   
 3. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ucheshi/prince charming/handsome ni tofauti na ukiwembe
   
 4. I

  Ivilikinge Member

  #4
  Aug 3, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi ni kweli kuna mwanamke anapenda mumewe awe na nyumba ndogo nimesoma sana pyscology ya mapenzi ila hicho kitu sijawahi kukisikia naombeni mnieleimishe vizuri plz.
   
 5. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,559
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Licha ya kusoma lakini na wewe inabidi utumie akili yaklo ya kuzaliwa kutambua mambo,ukitegemea ya kuendesha maisha kwa kutegemea uliyofundishwa tu,utajiju.
   
Loading...